Raia Mtata
JF-Expert Member
- Feb 4, 2017
- 316
- 612
Bata hawa wa kawaida mkuuNdugu Bata wa aina gani hao?
Mkuu hapo kwenye maji kanunue vile vidude vya kunyweshea maji kuku jitahidi upate vya cello..vya lita 3 wanauza 5000. Ukiwapa kwenye sahani za kawaida kuna siku utakuta wamelowa mkuuNgoja tusubiri majibu, mimi nina bata vifaranga 62 , 42 wana week moja 21 wa wana cku tatu . Ila mimi nadhani kufa kwa bata ni kutokana na kugeuka kisha wakashindwa kuinuka na hii inatokana na kuwawekea maji mengi kiasi kwambwa wale vifaranga wanarowa kisha akianguka anabeba mchannga kiasi kwamba anashindwa kuinuka. Lakani mara hii nimeweka maji machache kwenye vyombo kiasi kwamba hata miguu yao haizami hivyo mpaka sasa amekufa mmoja tu na nahisi kwa kuwa nilimpokonya mama yake akiwa bado mdogo but the rest wapo vizuri na wanaendelea vizuri na wengine 21 ndo wamezaliwa
mkuu hapo kwenye maji kanunue vile vidude vya kunyweshea maji kuku jitahidi upate vya cello..vya lita 3 wanauza 5000. Ukiwapa kwenye sahani za kawaida kuna siku utakuta wamelowa mkuuNgoja tusubiri majibu, mimi nina bata vifaranga 62 , 42 wana week moja 21 wa wana cku tatu . Ila mimi nadhani kufa kwa bata ni kutokana na kugeuka kisha wakashindwa kuinuka na hii inatokana na kuwawekea maji mengi kiasi kwambwa wale vifaranga wanarowa kisha akianguka anabeba mchannga kiasi kwamba anashindwa kuinuka. Lakani mara hii nimeweka maji machache kwenye vyombo kiasi kwamba hata miguu yao haizami hivyo mpaka sasa amekufa mmoja tu na nahisi kwa kuwa nilimpokonya mama yake akiwa bado mdogo but the rest wapo vizuri na wanaendelea vizuri na wengine 21 ndo wamezaliwa
mkuu hapo kwenye maji kanunue vile vidude vya kunyweshea maji kuku jitahidi upate vya cello..vya lita 3 wanauza 5000. Ukiwapa kwenye sahani za kawaida kuna siku utakuta wamelowa mkuuNgoja tusubiri majibu, mimi nina bata vifaranga 62 , 42 wana week moja 21 wa wana cku tatu . Ila mimi nadhani kufa kwa bata ni kutokana na kugeuka kisha wakashindwa kuinuka na hii inatokana na kuwawekea maji mengi kiasi kwambwa wale vifaranga wanarowa kisha akianguka anabeba mchannga kiasi kwamba anashindwa kuinuka. Lakani mara hii nimeweka maji machache kwenye vyombo kiasi kwamba hata miguu yao haizami hivyo mpaka sasa amekufa mmoja tu na nahisi kwa kuwa nilimpokonya mama yake akiwa bado mdogo but the rest wapo vizuri na wanaendelea vizuri na wengine 21 ndo wamezaliwa
Mkuu Nawalisha starter+DCP kwenye maji naweka neoxychick .. sahani ingine nawapa pumba ya kawaida yenye mchanganyiko wa mashudu ya alizeti, damu, mifupa na chokaa,ila sasa kila nikipitia thread za humu nakuta watu wanashauriwa kuwapa bata Newcastle halafu wawape chanjo ya ndui. Hapo ndipo wanaponivuruga. Ndio maana nimeulizaKwa uzoefu wangu bata wanaochanjwa ni bata mzinga na tatizo lao kubwa ni fowl pox(ndui).
Vifaranga wa bata hawa wakienyeji hawana chanjo zozote jitahidi kuwalisha chakula cha vifaranga(starter) kwani magonjwa yao mara nyingi husabishwa na ukosefu wa vitamini na madini mwilini mwao ambapo ukiwapa chakula cha vifaranga utapunguza kama si kuondoa kabisa tatiso la kufakufa.
Vile ninavyo ila changamoto ni kwamba kumbuka bata wanapenda kuochezea maji sasa bila kuwawekea sehemu ambayo watatchezea hapo utawapa dhiki pia ndo mana just nawawekea kweny mfuniko wa ndoo ya plasti ili wacheze na kwa ujumla wapo vizuri mkuumkuu hapo kwenye maji kanunue vile vidude vya kunyweshea maji kuku jitahidi upate vya cello..vya lita 3 wanauza 5000. Ukiwapa kwenye sahani za kawaida kuna siku utakuta wamelowa mkuu
Sawa sio mbaya mkuu, ila wenyewe wanasemaga unachezea shillingi chooni vifaranga vya bata havitaki maji kabisa. Yale maguduria yanawabana wasioge mle kwahiyo watakunywa tuVile ninavyo ila changamoto ni kwamba kumbuka bata wanapenda kuochezea maji sasa bila kuwawekea sehemu ambayo watatchezea hapo utawapa dhiki pia ndo mana just nawawekea kweny mfuniko wa ndoo ya plasti ili wacheze na kwa ujumla wapo vizuri mkuu
Nashukuru mkuu kwa ushauriSawa sio mbaya mkuu, ila wenyewe wanasemaga unachezea shillingi chooni vifaranga vya bata havitaki maji kabisa. Yale maguduria yanawabana wasioge mle kwahiyo watakunywa tu
Kiongozi Jakaya alishauri tutumie akili za mbayuwayu,zakuambiwa changanya na zako,hivi lini umewahi muona bata wa kienyeji anaumwa macho?Mkuu Nawalisha starter+DCP kwenye maji naweka neoxychick .. sahani ingine nawapa pumba ya kawaida yenye mchanganyiko wa mashudu ya alizeti, damu, mifupa na chokaa,ila sasa kila nikipitia thread za humu nakuta watu wanashauriwa kuwapa bata Newcastle halafu wawape chanjo ya ndui. Hapo ndipo wanaponivuruga. Ndio maana nimeuliza
Kiukwel wengi wauzaji wa dawa uuza kibiashara lakin newcastle na ndui sio magonjwa ya bata ispokua ni magonjwa ya kukuMkuu Nawalisha starter+DCP kwenye maji naweka neoxychick .. sahani ingine nawapa pumba ya kawaida yenye mchanganyiko wa mashudu ya alizeti, damu, mifupa na chokaa,ila sasa kila nikipitia thread za humu nakuta watu wanashauriwa kuwapa bata Newcastle halafu wawape chanjo ya ndui. Hapo ndipo wanaponivuruga. Ndio maana nimeuliza
Nashukuru mkuu ndio maana nikaja JFKiongozi Jakaya alishauri tutumie akili za mbayuwayu,zakuambiwa changanya na zako,hivi lini umewahi muona bata wa kienyeji anaumwa macho?
Lini umewahi ona bata wakienyeji anasinzia kama kuku mwenye mdonde?Magonjwa ya bata kwa kiasi kikubwa ni kwa vifaranga,sasa kama ni mdonde kwanini uchague bata wadogo?
Mkuu kwa asili bata kinyesi chake ni uharo,sasa akiumwa mdonde huo uharo wake utakuaje?
Majibu rahisi bata wakienyeji hawaugui mdondo wala ndui.
Hiyo naitambua mkuu ndio maana nikaja JF kisima cha busaraBata haumwagi umwahi hovyo hovyo wewe
Hiyo naitambua mkuu ndio maana nikaja JF kisima cha busaraBata haumwagi umwahi hovyo hovyo wewe
Bata ni resistance.. madokta mifugo wengi wanatudanganya. Ngoja waje maana sie sio madoktaKiukwel wengi wauzaji wa dawa uuza kibiashara lakin newcastle na ndui sio magonjwa ya bata ispokua ni magonjwa ya kuku