Chanjo za Bata

Chanjo za Bata

Raia Mtata

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2017
Posts
316
Reaction score
612
Wanazengo habari zenu, mimi ni mfugaji wa bata nina bata wamezaliwa wadogo wadogo karibu 45, wote wana wiki moja+, wana afya njema na hakuna hata mmoja aliyekufa.

Sababu ya kuanzisha huu uzi nimeona watu wengi humu wakilalamika juu ya vifo vya hawa bata wadogo. Na wengine wamekuwa wakisema kwamba bata wadogo lazima wapewe Newcastle na wakifika wiki 6 wapewe chanjo ya ndui, swali langu Je hizi chanjo ni zinawork out kwa bata au ni kujaribu tu maana pia nilisikia nadharia kwamba chanjo za bata hazipo Tanzania.

NAWASILISHA
 
Ngoja tusubiri majibu, mimi nina bata vifaranga 62 , 42 wana week moja 21 wa wana cku tatu . Ila mimi nadhani kufa kwa bata ni kutokana na kugeuka kisha wakashindwa kuinuka na hii inatokana na kuwawekea maji mengi kiasi kwambwa wale vifaranga wanarowa kisha akianguka anabeba mchannga kiasi kwamba anashindwa kuinuka.

Lakani mara hii nimeweka maji machache kwenye vyombo kiasi kwamba hata miguu yao haizami hivyo mpaka sasa amekufa mmoja tu na nahisi kwa kuwa nilimpokonya mama yake akiwa bado mdogo but the rest wapo vizuri na wanaendelea vizuri na wengine 21 ndo wamezaliwa
 
Kwa uzoefu wangu bata wanaochanjwa ni bata mzinga na tatizo lao kubwa ni fowl pox(ndui).
Vifaranga wa bata hawa wakienyeji hawana chanjo zozote jitahidi kuwalisha chakula cha vifaranga(starter) kwani magonjwa yao mara nyingi husabishwa na ukosefu wa vitamini na madini mwilini mwao ambapo ukiwapa chakula cha vifaranga utapunguza kama si kuondoa kabisa tatiso la kufakufa.
 
Ngoja tusubiri majibu, mimi nina bata vifaranga 62 , 42 wana week moja 21 wa wana cku tatu . Ila mimi nadhani kufa kwa bata ni kutokana na kugeuka kisha wakashindwa kuinuka na hii inatokana na kuwawekea maji mengi kiasi kwambwa wale vifaranga wanarowa kisha akianguka anabeba mchannga kiasi kwamba anashindwa kuinuka. Lakani mara hii nimeweka maji machache kwenye vyombo kiasi kwamba hata miguu yao haizami hivyo mpaka sasa amekufa mmoja tu na nahisi kwa kuwa nilimpokonya mama yake akiwa bado mdogo but the rest wapo vizuri na wanaendelea vizuri na wengine 21 ndo wamezaliwa
Mkuu hapo kwenye maji kanunue vile vidude vya kunyweshea maji kuku jitahidi upate vya cello..vya lita 3 wanauza 5000. Ukiwapa kwenye sahani za kawaida kuna siku utakuta wamelowa mkuu
 
Ngoja tusubiri majibu, mimi nina bata vifaranga 62 , 42 wana week moja 21 wa wana cku tatu . Ila mimi nadhani kufa kwa bata ni kutokana na kugeuka kisha wakashindwa kuinuka na hii inatokana na kuwawekea maji mengi kiasi kwambwa wale vifaranga wanarowa kisha akianguka anabeba mchannga kiasi kwamba anashindwa kuinuka. Lakani mara hii nimeweka maji machache kwenye vyombo kiasi kwamba hata miguu yao haizami hivyo mpaka sasa amekufa mmoja tu na nahisi kwa kuwa nilimpokonya mama yake akiwa bado mdogo but the rest wapo vizuri na wanaendelea vizuri na wengine 21 ndo wamezaliwa
mkuu hapo kwenye maji kanunue vile vidude vya kunyweshea maji kuku jitahidi upate vya cello..vya lita 3 wanauza 5000. Ukiwapa kwenye sahani za kawaida kuna siku utakuta wamelowa mkuu
 
Ngoja tusubiri majibu, mimi nina bata vifaranga 62 , 42 wana week moja 21 wa wana cku tatu . Ila mimi nadhani kufa kwa bata ni kutokana na kugeuka kisha wakashindwa kuinuka na hii inatokana na kuwawekea maji mengi kiasi kwambwa wale vifaranga wanarowa kisha akianguka anabeba mchannga kiasi kwamba anashindwa kuinuka. Lakani mara hii nimeweka maji machache kwenye vyombo kiasi kwamba hata miguu yao haizami hivyo mpaka sasa amekufa mmoja tu na nahisi kwa kuwa nilimpokonya mama yake akiwa bado mdogo but the rest wapo vizuri na wanaendelea vizuri na wengine 21 ndo wamezaliwa
mkuu hapo kwenye maji kanunue vile vidude vya kunyweshea maji kuku jitahidi upate vya cello..vya lita 3 wanauza 5000. Ukiwapa kwenye sahani za kawaida kuna siku utakuta wamelowa mkuu
 
Kwa uzoefu wangu bata wanaochanjwa ni bata mzinga na tatizo lao kubwa ni fowl pox(ndui).
Vifaranga wa bata hawa wakienyeji hawana chanjo zozote jitahidi kuwalisha chakula cha vifaranga(starter) kwani magonjwa yao mara nyingi husabishwa na ukosefu wa vitamini na madini mwilini mwao ambapo ukiwapa chakula cha vifaranga utapunguza kama si kuondoa kabisa tatiso la kufakufa.
Mkuu Nawalisha starter+DCP kwenye maji naweka neoxychick .. sahani ingine nawapa pumba ya kawaida yenye mchanganyiko wa mashudu ya alizeti, damu, mifupa na chokaa,ila sasa kila nikipitia thread za humu nakuta watu wanashauriwa kuwapa bata Newcastle halafu wawape chanjo ya ndui. Hapo ndipo wanaponivuruga. Ndio maana nimeuliza
 
mkuu hapo kwenye maji kanunue vile vidude vya kunyweshea maji kuku jitahidi upate vya cello..vya lita 3 wanauza 5000. Ukiwapa kwenye sahani za kawaida kuna siku utakuta wamelowa mkuu
Vile ninavyo ila changamoto ni kwamba kumbuka bata wanapenda kuochezea maji sasa bila kuwawekea sehemu ambayo watatchezea hapo utawapa dhiki pia ndo mana just nawawekea kweny mfuniko wa ndoo ya plasti ili wacheze na kwa ujumla wapo vizuri mkuu
 
Sawa sio mbaya mkuu, ila wenyewe wanasemaga unachezea shillingi chooni vifaranga vya bata havitaki maji kabisa. Yale maguduria yanawabana wasioge mle kwahiyo watakunywa tu
 
Nashukuru mkuu kwa ushauri
 
Mkuu Nawalisha starter+DCP kwenye maji naweka neoxychick .. sahani ingine nawapa pumba ya kawaida yenye mchanganyiko wa mashudu ya alizeti, damu, mifupa na chokaa,ila sasa kila nikipitia thread za humu nakuta watu wanashauriwa kuwapa bata Newcastle halafu wawape chanjo ya ndui. Hapo ndipo wanaponivuruga. Ndio maana nimeuliza
Kiongozi Jakaya alishauri tutumie akili za mbayuwayu,zakuambiwa changanya na zako,hivi lini umewahi muona bata wa kienyeji anaumwa macho?
Lini umewahi ona bata wakienyeji anasinzia kama kuku mwenye mdonde?Magonjwa ya bata kwa kiasi kikubwa ni kwa vifaranga,sasa kama ni mdonde kwanini uchague bata wadogo?
Mkuu kwa asili bata kinyesi chake ni uharo,sasa akiumwa mdonde huo uharo wake utakuaje?
Majibu rahisi bata wakienyeji hawaugui mdondo wala ndui.
 
Kiukwel wengi wauzaji wa dawa uuza kibiashara lakin newcastle na ndui sio magonjwa ya bata ispokua ni magonjwa ya kuku
 
Nashukuru mkuu ndio maana nikaja JF
 
Kiukwel wengi wauzaji wa dawa uuza kibiashara lakin newcastle na ndui sio magonjwa ya bata ispokua ni magonjwa ya kuku
Bata ni resistance.. madokta mifugo wengi wanatudanganya. Ngoja waje maana sie sio madokta
 
Je unahitaji kulima mahindi na hauna muda wa kusimamia? Au unataka upate mavuno mengi zaidi? Njoo ofisini kwetu.

Ofisi ya YAD yenye wataalamu wabobezi wa kilimo sasa inakuletea mpango wa kusimamia shughuli zote za shambani. Mkulima utatukabidhi shughuli zako pale shambani kwako sisi tutafanya kila kitu kwa utaalamu zaidi na kukukabidhi mazao yako yakiwa yamekomaa. Gharama zetu ni nafuu sana na tunakuhakikishia kwa ekari moja kuvuna mahindi zaidi ya gunia 30. Usihangaike sasa, sisi tupo kwa ajili yako, Kwa Wale ambao hawana mashamba tutakuwezesha kupata mashamba ya kukodi kwa elfu 40 tu na mashamba ya kununua kwa elfu 60 tu hata ukihitaji ekari 100 za kununua utazipata kwa bei hiyo hiyo.

Kwa maelezo zaidi fika ofisini kwetu.
Jengo la NSSF SONGEA
Ghorofa ya 3 chumba no. 317
Simu. 0621133117
 
Back
Top Bottom