Raia Mtata
JF-Expert Member
- Feb 4, 2017
- 316
- 612
Wanazengo habari zenu, mimi ni mfugaji wa bata nina bata wamezaliwa wadogo wadogo karibu 45, wote wana wiki moja+, wana afya njema na hakuna hata mmoja aliyekufa.
Sababu ya kuanzisha huu uzi nimeona watu wengi humu wakilalamika juu ya vifo vya hawa bata wadogo. Na wengine wamekuwa wakisema kwamba bata wadogo lazima wapewe Newcastle na wakifika wiki 6 wapewe chanjo ya ndui, swali langu Je hizi chanjo ni zinawork out kwa bata au ni kujaribu tu maana pia nilisikia nadharia kwamba chanjo za bata hazipo Tanzania.
NAWASILISHA