salmin siraj
Senior Member
- Oct 10, 2017
- 197
- 208
Magonjwa hatar kwa bata ni duck viral hepatitis ambayo ushambulia sana bata wenye umri chini ya week sita unakuta vifaranga wa bata wanakosa nguvu ,wanashndwa kutembea vifo vnapoanza kutokea ufkia mpka shmba tena ndani ya week tuBata ni resistance.. madokta mifugo wengi wanatudanganya. Ngoja waje maana sie sio madokta
Mkuu nashukuru kwa meseji yako bora ulivyoeleza vizuri kumbe bata wana magonjwa mengi ila dawa ni usafi tuMagonjwa hatar kwa bata ni duck viral hepatitis ambayo ushambulia sana bata wenye umri chini ya week sita unakuta vifaranga wa bata wanakosa nguvu ,wanashndwa kutembea vifo vnapoanza kutokea ufkia mpka shmba tena ndani ya week tu
Ugnjwa mwingine duck viral enteritis huu nao ni hatar na mengine mengi kama aspergillosis ,aflatoxins poisoning ,collibasillosis, avian chorela (kipindupindu ) hayo yoote unaweza kuyaepuka kwa usafi wa kutosha kwenye mabanda na vyakula
Ila mkuu hii habari ya chanjo ina ukweli wowote? Bata wadogo wana chanjo?Magonjwa hatar kwa bata ni duck viral hepatitis ambayo ushambulia sana bata wenye umri chini ya week sita unakuta vifaranga wa bata wanakosa nguvu ,wanashndwa kutembea vifo vnapoanza kutokea ufkia mpka shmba tena ndani ya week tu
Ugnjwa mwingine duck viral enteritis huu nao ni hatar na mengine mengi kama aspergillosis ,aflatoxins poisoning ,collibasillosis, avian chorela (kipindupindu ) hayo yoote unaweza kuyaepuka kwa usafi wa kutosha kwenye mabanda na vyakula
Aswaah mkuuMkuu nashukuru kwa meseji yako bora ulivyoeleza vizuri kumbe bata wana magonjwa mengi ila dawa ni usafi tu
Kwa magonjwa kama duck viral hepatitis na enteritis chanjo zpo ila kutokana na utamaduni wa sisi watanzania kutopendelea kufuga bata azina soko so upatikanaji wake ni changamoto sana kwahio na pia haya magonjwa ni mara chache sana kutokeaIla mkuu hii habari ya chanjo ina ukweli wowote? Bata wadogo wana chanjo?
Mkuu namba tano antibiotics unazoongelea ni zipi? Hizi za binadamu? Au zipo maalum kwa ajili ya mifugo? Namba 6 mkuu mimi nawachanganyia unga wa neoxychick kwenye maji hao vifaranga wadogo, hayo masharti mengine yote nimeyakidhi, nawafugia ndani, chakula naweka mifupa, chokaa, mashudu ya alizeti na damu pia naweka na DCP, sahani ingine naweka starter+DCP. Vyombo nahakikisha visafi na wanapokaa nahakikisha ni pasafi muda wote. Asante kwa shule yako mkuuKwa magonjwa kama duck viral hepatitis na enteritis chanjo zpo ila kutokana na utamaduni wa sisi watanzania kutopendelea kufuga bata azina soko so upatikanaji wake ni changamoto sana kwahio na pia haya magonjwa ni mara chache sana kutokea
Muhimu unapofuga bata
1.Hakikisha maji wanatumia ni safi pia jenga tabia yakubadilisha maji
2.Hakikisha usafi wa vifaa vya chakula na maji
3.Chakula safi na cha kutosha ,usiwapatie pumba zenye moulds (mafungus )kuzuia aflatoxin poisoning au aspergillosis
4. Pia wachnganyie madini kama calcium phosphrous na trace minerals kwenye chakula mfano chokaa ,unga wa mifupa DCP yatasaidia kuimarisha mifupa na misuli ,matatizo ya kusimama na kula mayai
5.Vifaranga wanapozaliwa unaweza kuwapatia antibiotics kuzuia kuua na kuzuia magonjwa ya bacteria na vitamins kuongeza hamu ya kula na kinga za magonjwa
6.Unaeza nunua unga sulphur ukawachnganyia pia na maji wanakunywa
7.intensive system (mfumo wa kufuga ndani )ni best kuwaepusha na magonjwa ingawa ni gharama pia
Ucjal mkuu antibiotics zipo kwa ajili ya mifugo mfano ni hio unayoitumia neoxychick inasaidia kuondoa na kuzuia vimelea vinavosababishwa na bacteria so uko sahihi kabisa. Kwa mfumo huo nadhan utadhibit vifo vya vifaranga kwa asilimia kubwa na mwisho utafikia malengo yakoMkuu namba tano antibiotics unazoongelea ni zipi? Hizi za binadamu? Au zipo maalum kwa ajili ya mifugo? Namba 6 mkuu mimi nawachanganyia unga wa neoxychick kwenye maji hao vifaranga wadogo, hayo masharti mengine yote nimeyakidhi, nawafugia ndani, chakula naweka mifupa, chokaa, mashudu ya alizeti na damu pia naweka na DCP, sahani ingine naweka starter+DCP. Vyombo nahakikisha visafi na wanapokaa nahakikisha ni pasafi muda wote. Asante kwa shule yako mkuu