Chanjo za Bata

Chanjo za Bata

Bata ni resistance.. madokta mifugo wengi wanatudanganya. Ngoja waje maana sie sio madokta
Magonjwa hatar kwa bata ni duck viral hepatitis ambayo ushambulia sana bata wenye umri chini ya week sita unakuta vifaranga wa bata wanakosa nguvu ,wanashndwa kutembea vifo vnapoanza kutokea ufkia mpka shmba tena ndani ya week tu
Ugnjwa mwingine duck viral enteritis huu nao ni hatar na mengine mengi kama aspergillosis ,aflatoxins poisoning ,collibasillosis, avian chorela (kipindupindu ) hayo yoote unaweza kuyaepuka kwa usafi wa kutosha kwenye mabanda na vyakula
 
Mkuu nashukuru kwa meseji yako bora ulivyoeleza vizuri kumbe bata wana magonjwa mengi ila dawa ni usafi tu
 
Magonjwa hatar kwa bata ni duck viral hepatitis ambayo ushambulia sana bata wenye umri chini ya week sita unakuta vifaranga wa bata wanakosa nguvu ,wanashndwa kutembea vifo vnapoanza kutokea ufkia mpka shmba tena ndani ya week tu
Ugnjwa mwingine duck viral enteritis huu nao ni hatar na mengine mengi kama aspergillosis ,aflatoxins poisoning ,collibasillosis, avian chorela (kipindupindu ) hayo yoote unaweza kuyaepuka kwa usafi wa kutosha kwenye mabanda na vyakula
Ila mkuu hii habari ya chanjo ina ukweli wowote? Bata wadogo wana chanjo?
 
Kwa magonjwa kama duck viral hepatitis na enteritis chanjo zpo ila kutokana na utamaduni wa sisi watanzania kutopendelea kufuga bata azina soko so upatikanaji wake ni changamoto sana kwahio na pia haya magonjwa ni mara chache sana kutokea
Muhimu unapofuga bata
1.Hakikisha maji wanatumia ni safi pia jenga tabia yakubadilisha maji
2.Hakikisha usafi wa vifaa vya chakula na maji
3.Chakula safi na cha kutosha ,usiwapatie pumba zenye moulds (mafungus )kuzuia aflatoxin poisoning au aspergillosis
4. Pia wachnganyie madini kama calcium phosphrous na trace minerals kwenye chakula mfano chokaa ,unga wa mifupa DCP yatasaidia kuimarisha mifupa na misuli ,matatizo ya kusimama na kula mayai
5.Vifaranga wanapozaliwa unaweza kuwapatia antibiotics kuzuia kuua na kuzuia magonjwa ya bacteria na vitamins kuongeza hamu ya kula na kinga za magonjwa
6.Unaeza nunua unga sulphur ukawachnganyia pia na maji wanakunywa
7.intensive system (mfumo wa kufuga ndani )ni best kuwaepusha na magonjwa ingawa ni gharama pia
 
Mkuu namba tano antibiotics unazoongelea ni zipi? Hizi za binadamu? Au zipo maalum kwa ajili ya mifugo? Namba 6 mkuu mimi nawachanganyia unga wa neoxychick kwenye maji hao vifaranga wadogo, hayo masharti mengine yote nimeyakidhi, nawafugia ndani, chakula naweka mifupa, chokaa, mashudu ya alizeti na damu pia naweka na DCP, sahani ingine naweka starter+DCP. Vyombo nahakikisha visafi na wanapokaa nahakikisha ni pasafi muda wote. Asante kwa shule yako mkuu
 
Ucjal mkuu antibiotics zipo kwa ajili ya mifugo mfano ni hio unayoitumia neoxychick inasaidia kuondoa na kuzuia vimelea vinavosababishwa na bacteria so uko sahihi kabisa. Kwa mfumo huo nadhan utadhibit vifo vya vifaranga kwa asilimia kubwa na mwisho utafikia malengo yako

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
kwa wasiojua vufaranga wa bata wanashambuliwa na virusi akiwa wadogo,hakuna dawa wala chanjo,utapoteza pesa.Kenya wanazo chanjo za vifaranga wa bata
 
Bata huwa kuumwa si sana mara nyingi huwa vifaranga tu kufa tena wanakuwa shingo wanainyonga nyonga hadi kufa. Kwa hapa wapo wanaowanyosha shingo kushoto na kulia lkn kuna wengine ili wasipate tatizo hubadilisha makoo kwa madume.
Ikiwa na maana kama vifaranga vimezaliwa madume na majike inabidi ubadili majike yaliyozaliwa wakati wa kukaribia kutaga unawatafutia dume lingine kabisa. Kuna waliofanikiwa kupitia hili lkn tafiti kwa wafugaji bado inaendelea ili kujiridhisha zaidi kama kweli au la
 
Back
Top Bottom