salmin siraj
Senior Member
- Oct 10, 2017
- 197
- 208
Magonjwa hatar kwa bata ni duck viral hepatitis ambayo ushambulia sana bata wenye umri chini ya week sita unakuta vifaranga wa bata wanakosa nguvu ,wanashndwa kutembea vifo vnapoanza kutokea ufkia mpka shmba tena ndani ya week tuBata ni resistance.. madokta mifugo wengi wanatudanganya. Ngoja waje maana sie sio madokta
Ugnjwa mwingine duck viral enteritis huu nao ni hatar na mengine mengi kama aspergillosis ,aflatoxins poisoning ,collibasillosis, avian chorela (kipindupindu ) hayo yoote unaweza kuyaepuka kwa usafi wa kutosha kwenye mabanda na vyakula