Tangu tuwazike maalim Seif na Magufuli ni zaidi ya wiki mbili za mtu kuwekwa karantini.Mwenyezi Mungu atubariki na tunamshukuru sana.Kumbe bado mnautata fateni basi hayo maharti ya wazungu sisi bado hatuja athirika kwa kiwango chenu ikifikia hivyo tutachukua hatua.
Kwa sasa tunamshukuru Mungu bado tuna dunda kama ulivo tuona kwenye mazishi ya viongozi wetu mpaka sasa hamna taalifa mbaya bado
Dah hali itakuwa mbaya kuliko ya corona yenyeweMara hao waliochanjwa wanageuka mazombi duu sijui itakuwaje
Huyo ana chanjo za wanawake pekeeChanjo hazieleweki.
Hivi Dokta mwaka hajatoa chanjo tu?
Condom kote huko akati tooth pick hatuwezi kutengeneza.chanjo haikwepekiUmaskini wa hela na akili kwakweli ni dhambi ..!yaani ukapuku unatusumbua sana Africa...tunanyali chanjo ova sisi hata condom tu tuna uwezo wa kutengeneza[emoji19][emoji57][emoji57][emoji57]
Sema wewe mkuu..nikisema mie naonekana pingapingaCondom kote huko akati tooth pick hatuwezi kutengeneza.chanjo haikwepeki
Hata hivyo[emoji28]Sema wewe mkuu..nikisema mie naonekana pingapinga
Ni uelewa tuu ngoja tunyamaze tuuSema wewe mkuu..nikisema mie naonekana pingapinga
watu wengi wanapoteza maisha yao tz tokana na corona...lakini vyombo vyenu haviwezi vikatangaza maana hamna uhuru wa wana habari, dhihirisho kuu ni kama pale nchi nzima hamkujua alikokuwa jiwe, wakati huo wote vyombo vyetu vilikuwa vishatangaza tangaza hapa na pale....hivyo basi usijivune eti korona haipo, hali ni mbaya sana tz.....ngojea utajionea in the next census yenu ..Kumbe bado mnautata fateni basi hayo maharti ya wazungu sisi bado hatuja athirika kwa kiwango chenu ikifikia hivyo tutachukua hatua.
Kwa sasa tunamshukuru Mungu bado tuna dunda kama ulivo tuona kwenye mazishi ya viongozi wetu mpaka sasa hamna taalifa mbaya bado
Yule huwa anatibu maradhi kwenye viungo vya uzazi tu.Chanjo hazieleweki.
Hivi Dokta mwaka hajatoa chanjo tu?
Watanzania nyie hunifurahisha sana... Nyie hujiona bora saana, halafu baadaye mnakuja kugundua ya kuwa mlikuwa mmepotea njia kweeeeli. mengi tunayo fanya Kenya huwa mnaona ni kama upuuzi halafu mtakuja kuyafanya baadaye tena kwa wasiwasi na mbio mbio... barakoa tulivaa mkatutusi, sasa nawaona mkizivaa tena sana, lock down tukaweka mkaongea za ovyo mark my words you will soon have lock downs, halafu hizi chanjo mnatusi haitachukua muda kabla hamjaanza kuchanjwa tena kwa pupa..... Hii ndio sababu moja mbaya ya kutotumia kingereza nchini na kukosa kuithamini. mambo mengi hamuelewi until when in dire need.
Anyway my advice to you people is this; mkiona kenya inafanya jambo fulani, basi igeni mara moja ili m save time na aibu. you are always a reactive country. its high time you people become proactive......hivyo namaanisha endeni na wakati...na kama hamko sure then angalia Kenya wanafanya nini halafu muige immediately muepukane na aibu.
Kenya lazima mharakie kuchukua chanjo hata zikiwa zimekataliwa mataifa mengine kwa vile tu mumeshakula pesa nyingi za corona.
Mmemaliza changamoto ya ugaidi?Anyway my advice to you people is this; mkiona kenya inafanya jambo fulani, basi igeni mara moja ili m save time na aibu. you are always a reactive country. its high time you people become proactive......hivyo namaanisha endeni na wakati...na kama hamko sure then angalia Kenya wanafanya nini halafu muige immediately muepukane na aibu.
Waulize vizuri wakenya.Kibaki alitii amri za mabeberu na kujiingiza kwenye vita isiyowahusu.Wamepata hasara kubwa na wasomali kila siku wanazidi kuwafurusha warudi kwao hawataki msaada na wanawaona kama watu waliojitia kimbelembele kwenye mambo ya nchi yao.Hawajawaona kama wakombozi.Tatizo la kuendeleza ajenda za watu bila kutafakari.Mmemaliza changamoto ya ugaidi?
Kama sijasikia kwa jirani zangu nyumbani na kazini na hospital tunaenda hiyo hali hatuioni kuna haja gani ya kua na shaka?watu wengi wanapoteza maisha yao tz tokana na corona...lakini vyombo vyenu haviwezi vikatangaza maana hamna uhuru wa wana habari, dhihirisho kuu ni kama pale nchi nzima hamkujua alikokuwa jiwe, wakati huo wote vyombo vyetu vilikuwa vishatangaza tangaza hapa na pale....hivyo basi usijivune eti korona haipo, hali ni mbaya sana tz.....ngojea utajionea in the next census yenu ..
ugonjwa huu unauwa watu kama 5 kwa siku, nchi nzima ya watu millioni sitini ni vigumu sana kujua vifo kama hizi, inataka serikali iliyokomaa na madakitari shupavu ili kutambua mambo kama haya. lakini nyinyi mmelala kunzia viongozi, vyombo vya habari madakitari halafu wananchi ndio usiseme akili kama yakoKama sijasikia kwa jirani zangu nyumbani na kazini na hospital tunaenda hiyo hali hatuioni kuna haja gani ya kua na shaka?
Mnatamani tupatwe na hilo janga poleni sana kwa maumivu mnayo pata sisi tunadunda tu changanikeni tunasubiri hiyo siku
of course we know a lot, and we are way ahead of you people by far and in almost everything isipokuwa kuimba tuMungiki at your best. You people think you know everything.