Chanjo za Corona ni ovyo kabisa

Chanjo za Corona ni ovyo kabisa

Kumbe bado mnautata fateni basi hayo maharti ya wazungu sisi bado hatuja athirika kwa kiwango chenu ikifikia hivyo tutachukua hatua.
Kwa sasa tunamshukuru Mungu bado tuna dunda kama ulivo tuona kwenye mazishi ya viongozi wetu mpaka sasa hamna taalifa mbaya bado
Tangu tuwazike maalim Seif na Magufuli ni zaidi ya wiki mbili za mtu kuwekwa karantini.Mwenyezi Mungu atubariki na tunamshukuru sana.
 
Umaskini wa hela na akili kwakweli ni dhambi ..!yaani ukapuku unatusumbua sana Africa...tunanyali chanjo ova sisi hata condom tu tuna uwezo wa kutengeneza[emoji19][emoji57][emoji57][emoji57]
Condom kote huko akati tooth pick hatuwezi kutengeneza.chanjo haikwepeki
 
Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya kutengeneza chanjo za Pfizer bwana Albert Bourla amesema huenda sindano ya tatu ikahitajika badala ya mbili za sasa ili kukamilisha chanjo za wale waliokwishakuchanjwa. Chanjo hiyo ya tatu inaweza ikahitajika baada ya miezi 6 mpaka 12.Hii ni kutokana na kuwa virusi vya corona vimekuwa vikibadilika mara kwa mara.
 
Kumbe bado mnautata fateni basi hayo maharti ya wazungu sisi bado hatuja athirika kwa kiwango chenu ikifikia hivyo tutachukua hatua.
Kwa sasa tunamshukuru Mungu bado tuna dunda kama ulivo tuona kwenye mazishi ya viongozi wetu mpaka sasa hamna taalifa mbaya bado
watu wengi wanapoteza maisha yao tz tokana na corona...lakini vyombo vyenu haviwezi vikatangaza maana hamna uhuru wa wana habari, dhihirisho kuu ni kama pale nchi nzima hamkujua alikokuwa jiwe, wakati huo wote vyombo vyetu vilikuwa vishatangaza tangaza hapa na pale....hivyo basi usijivune eti korona haipo, hali ni mbaya sana tz.....ngojea utajionea in the next census yenu ..
 
Watanzania nyie hunifurahisha sana... Nyie hujiona bora saana, halafu baadaye mnakuja kugundua ya kuwa mlikuwa mmepotea njia kweeeeli. mengi tunayo fanya Kenya huwa mnaona ni kama upuuzi halafu mtakuja kuyafanya baadaye tena kwa wasiwasi na mbio mbio... barakoa tulivaa mkatutusi, sasa nawaona mkizivaa tena sana, lock down tukaweka mkaongea za ovyo mark my words you will soon have lock downs, halafu hizi chanjo mnatusi haitachukua muda kabla hamjaanza kuchanjwa tena kwa pupa..... Hii ndio sababu moja mbaya ya kutotumia kingereza nchini na kukosa kuithamini. mambo mengi hamuelewi until when in dire need.

Anyway my advice to you people is this; mkiona kenya inafanya jambo fulani, basi igeni mara moja ili m save time na aibu. you are always a reactive country. its high time you people become proactive......hivyo namaanisha endeni na wakati...na kama hamko sure then angalia Kenya wanafanya nini halafu muige immediately muepukane na aibu.

Mungiki at your best. You people think you know everything.
 
Kenya lazima mharakie kuchukua chanjo hata zikiwa zimekataliwa mataifa mengine kwa vile tu mumeshakula pesa nyingi za corona.

Pesa ya koona walii chanel kwenye mambo mengine , wala haikutumika kama ilivyotakiwa. They are answerable to that, ndo maana inabidi watii masharti.
 
Anyway my advice to you people is this; mkiona kenya inafanya jambo fulani, basi igeni mara moja ili m save time na aibu. you are always a reactive country. its high time you people become proactive......hivyo namaanisha endeni na wakati...na kama hamko sure then angalia Kenya wanafanya nini halafu muige immediately muepukane na aibu.
Mmemaliza changamoto ya ugaidi?
 
Mmemaliza changamoto ya ugaidi?
Waulize vizuri wakenya.Kibaki alitii amri za mabeberu na kujiingiza kwenye vita isiyowahusu.Wamepata hasara kubwa na wasomali kila siku wanazidi kuwafurusha warudi kwao hawataki msaada na wanawaona kama watu waliojitia kimbelembele kwenye mambo ya nchi yao.Hawajawaona kama wakombozi.Tatizo la kuendeleza ajenda za watu bila kutafakari.
 
watu wengi wanapoteza maisha yao tz tokana na corona...lakini vyombo vyenu haviwezi vikatangaza maana hamna uhuru wa wana habari, dhihirisho kuu ni kama pale nchi nzima hamkujua alikokuwa jiwe, wakati huo wote vyombo vyetu vilikuwa vishatangaza tangaza hapa na pale....hivyo basi usijivune eti korona haipo, hali ni mbaya sana tz.....ngojea utajionea in the next census yenu ..
Kama sijasikia kwa jirani zangu nyumbani na kazini na hospital tunaenda hiyo hali hatuioni kuna haja gani ya kua na shaka?
Mnatamani tupatwe na hilo janga poleni sana kwa maumivu mnayo pata sisi tunadunda tu changanikeni tunasubiri hiyo siku
 
ugonjwa huu unauwa watu kama 5 kwa siku, nchi nzima ya watu millioni sitini ni vigumu sana kujua vifo kama hizi, inataka serikali iliyokomaa na madakitari shupavu ili kutambua mambo kama haya. lakini nyinyi mmelala kunzia viongozi, vyombo vya habari madakitari halafu wananchi ndio usiseme akili kama yako
 
HII MIJADALA YA WANASIASA TUMESHAICHOKA SASA . CHANJO ILETWE ANAYETAKA KUCHANJWA AENDE KWA HIARI YAKE ASIYETAKA ASILAZIMISHWE.. FULSTOP
 
Back
Top Bottom