Jinsi tulivyo pambana na alshabab hata marekani walituheshimu....ugaidi ni hatari kuliko hata vita vya kijeshi, kwa maana gaidi hana matumaini ya kurudi kwa familia zao baada ya vita....na tuliwazimia mbali

Awali India ilitajwa kama mfano wa nchi zenye kasi zaidi ya kuchanja raia zake ikiungana na mataifa mengine ya America kusini. Leo tena imeelezwa kuwa ukubwa wa maambukizi ya corona haujawahi kutokea mpaka hospitali zimeishiwa na oxygen.
Israel imegundua kuwa watu kadhaa waliopata chanjo za corona za aina ya Pfizer huwa wanapatwa na matatizo ya moyo.
Mratibu wa chanjo wa nchi hiyo Nachman Ash amesema uchunguzi wa awali umegundua ni makumi ya watu kati ya milioni ambao tayari wameshapatiwa chanjo hizo.