Chanjo za Corona ni ovyo kabisa

Chanjo za Corona ni ovyo kabisa

Mmemaliza changamoto ya ugaidi?
Jinsi tulivyo pambana na alshabab hata marekani walituheshimu....ugaidi ni hatari kuliko hata vita vya kijeshi, kwa maana gaidi hana matumaini ya kurudi kwa familia zao baada ya vita....na tuliwazimia mbali
 
Sasa unategemea vipi nchi inayojitambua kuiga mienendo ya nchi ambayo imeshindwa kuwa na uhakika wa amani kwa asilimia 100%..?

Means hata viwango na mbinu za kiusalama na kijeshi ni ndogo.

Kwa mapungufu hayo kati ya mengi.
Ilibidi nyie ndio muicopy Tanzania kwa kila kitu.
 
Awali India ilitajwa kama mfano wa nchi zenye kasi zaidi ya kuchanja raia zake ikiungana na mataifa mengine ya America kusini. Leo tena imeelezwa kuwa ukubwa wa maambukizi ya corona haujawahi kutokea mpaka hospitali zimeishiwa na oxygen.
 
Israel imegundua kuwa watu kadhaa waliopata chanjo za corona za aina ya Pfizer huwa wanapatwa na matatizo ya moyo.
Mratibu wa chanjo wa nchi hiyo Nachman Ash amesema uchunguzi wa awali umegundua ni makumi ya watu kati ya milioni ambao tayari wameshapatiwa chanjo hizo.
 
Back
Top Bottom