#COVID19 Chanjo za corona zimehakikiwaje?

wagonjwa wa,
1.KISUKARI
2.PRESHA
3.MOYO
4.SARATANI
5.UKIMWI
wagonjwa wa maradhi hayo wanapaswa wachue tahadhari sana maana Corona itatumaliza sana.
 
Uspate shida mkuu hizo zimepimwa kutokakana na wingi wa midola iliyokuja nazo
Siku moja iliyopita, wazungu wametubwagia furushi la chanjo za misaada. Zinaitwa Johnson Johnson.

Furushi hilo lina chanjo milioni moja ambazo zinapaswa kudungwa chap chap. Na hivi kesho tu, Rais Samia anaenda kudungwa chanjo ya uhamasishaji.

Baada ya hofu kuwa kubwa kuhusu usalama wa hizo chanjo, wameibuka wanasiasa wakisema kwamba chanjo ni salama na zimehakikiwa na TFDA na wakemia wa serikali.

Mimi sio mkemia na sijui chochote kuhusu kemia. Kwanza hata sekondari sikusoma. Nilibangaiza bangaiza tu nikaishia shule ya msingi darasa la saba.

Ningependa kuwauliza hawa wanaoitwa "wataalamu wa UVIKO", Je, hilo furushi la chanjo limehakikiwa kwa methodolojia gani?

Kwa kuchukua sampuli chache na kuzihakiki? Au zote? Na kwa namna gani?

Kwa elimu yangu ya hii ya darasa la saba, ninaelewa kwamba, usalama wa chanjo unapimwa kwa MAJARIBIO YA UBORA (clinical trials) ambayo yanalenga kubaini athari za muda mrefu ama muda mfupi, na majaribio hayo yanaweza kuchukua angalau miaka mpaka mitano au zaidi.

Huyo mkemia anayetuambia kwamba amepima chanjo na kuona ziko salama ametumia njia gani haswa ya kisayansi?

Ghafla Bin Vuu tu ndani ya siku moja kaingia maabara na koti lake kakorokochoa test tubes, anatuambia chanjo ni salama? No trials?

Just mixing stuffs in test tubes, that's all?

Hiyo ndiyo sayansi ya Tanzania?

Mmezipimaje haswa hizo chanjo enyi wataalamu wa UVIKO?

Watanzania wana kiu ya kujua!
 
Majibu yako hapo chini
marcotibasima_1627918088284103.jpg
 
N

Ngumbaru Kama nyie mnapotosha kwa faida ya Nani?
 
Me nasubiri huko ilikoanzia chanjo watangaze Covid Imeisha nikachanje fast

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
uko sahihi, kupokea msaada wa chanjo ya UVIKO kutoka kwa mabeberu ni sawa na kupokea zawadi ya nguo kutoka kwa mtu aliye uchi, yaani mataifa yao yako bize kufukia watu waliofariki kutokana na CORONA then they turns back to Africa kutupa medical aids, eti chanjo, unachoma chanjo na unaweza kuambukiza wengine, unachoma chanjo na huwezi kutembea bila barakoa, unachoma chanjo na unaweza kuambukizwa!, hii mmesikia wapi!?

na ile fomu ya kujaza kama makubaliano ya kupokea chanjo ni yaniin!?, kwaniin iwe na terms za ku-mcondition mtu kuwa madhara yatakayojitokeza serikali haitahusika, Kwaniin serikali imejitoa kwenye hilo??,,

kwaniin unachanjwa na unaweza kupata CORONA??

Kwaniin unapochomwa chanjo taarifa automatically zinaonyesha kuwa umeshachanj??,

Je serikali ya mabeberu imefanikiwa kuwatibu watu wao mpaka kutupa sisi msaada wa chanjo??
 
wagonjwa wa,
1.KISUKARI
2.PRESHA
3.MOYO
4.SARATANI
5.UKIMWI
wagonjwa wa maradhi hayo wanapaswa wachue tahadhari sana maana Corona itatumaliza sana.
Nakuona dalali wa machanjo unapambana kutupia nyavu ili maboya wanase.
 
Back
Top Bottom