Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 11,557
- 33,535
Spika ameshapigwa chapa ya mnyama🐒Chanjo za corona zinahakikiwa Kwa kuwachanja viongozi mfano Rais,waziri Mkuu na waziri wa afya bila spika na Makamu wa Rais.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Spika ameshapigwa chapa ya mnyama🐒Chanjo za corona zinahakikiwa Kwa kuwachanja viongozi mfano Rais,waziri Mkuu na waziri wa afya bila spika na Makamu wa Rais.
Kadungwa maziwa.Spika ameshapigwa chapa ya mnyama[emoji205]View attachment 1877692
Hakuna athari ukimdunga mtu maziwa ?Kadungwa maziwa.
Sasa badala ya kujibiwa kwa hoja, wataanza kukukejeli, hapa ndipo wanapo niacha hoi hawa madalali wa ChanjoSiku moja iliyopita, wazungu wametubwagia furushi la chanjo za misaada. Zinaitwa Johnson Johnson.
Furushi hilo lina chanjo milioni moja ambazo zinapaswa kudungwa chap chap. Na hivi kesho tu, Rais Samia anaenda kudungwa chanjo ya uhamasishaji.
Baada ya hofu kuwa kubwa kuhusu usalama wa hizo chanjo, wameibuka wanasiasa wakisema kwamba chanjo ni salama na zimehakikiwa na TFDA na wakemia wa serikali.
Mimi sio mkemia na sijui chochote kuhusu kemia. Kwanza hata sekondari sikusoma. Nilibangaiza bangaiza tu nikaishia shule ya msingi darasa la saba.
Ningependa kuwauliza hawa wanaoitwa "wataalamu wa UVIKO", Je, hilo furushi la chanjo limehakikiwa kwa methodolojia gani?
Kwa kuchukua sampuli chache na kuzihakiki? Au zote? Na kwa namna gani?
Kwa elimu yangu ya hii ya darasa la saba, ninaelewa kwamba, usalama wa chanjo unapimwa kwa MAJARIBIO YA UBORA (clinical trials) ambayo yanalenga kubaini athari za muda mrefu ama muda mfupi, na majaribio hayo yanaweza kuchukua angalau miaka mpaka mitano au zaidi.
Huyo mkemia anayetuambia kwamba amepima chanjo na kuona ziko salama ametumia njia gani haswa ya kisayansi?
Ghafla Bin Vuu tu ndani ya siku moja kaingia maabara na koti lake kakorokochoa test tubes, anatuambia chanjo ni salama? No trials?
Just mixing stuffs in test tubes, that's all?
Hiyo ndiyo sayansi ya Tanzania?
Mmezipimaje haswa hizo chanjo enyi wataalamu wa UVIKO?
Watanzania wana kiu ya kujua!
Hivi ni kwanini usijibu hoja zake alizobainisha kwenye uzi? Why?!Kama hutaki chanjo kataa mwenyewe. Sio maswali kibao wakati mamilioni ya watu wamechanjwa.
Haina athari zaidi ya maigizo tuu!!Hakuna athari ukimdunga mtu maziwa ?
Kwanini usijibu hoja zake, hata kama kaishia vidudu, jibu hojaHeri Mimi Sijasema.👇👇
"Mimi sio mkemia na sijui chochote kuhusu kemia. Kwanza hata sekondari sikusomi. Nilibangaiza bangaiza tu nikaishia shule ya msingi darasa la saba".
Hawawezi kujibu hoja hawa wanasayansi uchwara!Sasa badala ya kujibiwa kwa hoja, wataanza kukukejeli, hapa ndipo wanapo niacha hoi hawa madalali wa Chanjo
Ameuliza juu ya mkemia aliyesema amezihakiki, jibu hija yake juu ya mbinu ya uhakiki ndani ya siku1, kwanini usijibu hoja?Wakemia walishapitisha zilikotoka.
Dawa ngapi zinatumika huulizi, au chanjo ngapi watu wamechanjwa ukiwemo!
Kwanini wewe usigoogle halafu ukatuletea mrejesho jinsi wanavyohakiki chanjo ndani ya siku1?Sasa mkuu unataka tukupitishe step by step au?
Na kama hukusoma nan alikuambia chanjo lazima ifanyiwa majaribio miaka 5+
Unajua technology iliyotumika ? Any way kama unataka kujua imehakikiwaje ni somo pana mana inabidi iwe step by step na hivyo either ugoogle tu au unilipe nije physically kukufundisha na kukupa michoro na baadhi ya practical zinazohusika
NB: Ni course kabisa hii
Sasa kwanini usijibu hoja aliyohoji?Waafrika!! Unaoji kitu hambacho huna uwezo nacho
Kila nikiuliza hili swali, huwa sipewi jibu, kwanini inaitwa chanjo in the 1st place?Chanjo isiyofanya kazi ya Chanjo kwanini iitwe Chanjo???
sotrovimab monoclonal antibody 💉💉💉Kwanini usijibu hoja zake, hata kama kaishia vidudu, jibu hoja
Zimehakikiwa na nani?Huko zilikotoka zimehakikiwa
Siku moja iliyopita, wazungu wametubwagia furushi la chanjo za misaada. Zinaitwa Johnson Johnson.
Furushi hilo lina chanjo milioni moja ambazo zinapaswa kudungwa chap chap. Na hivi kesho tu, Rais Samia anaenda kudungwa chanjo ya uhamasishaji.
Baada ya hofu kuwa kubwa kuhusu usalama wa hizo chanjo, wameibuka wanasiasa wakisema kwamba chanjo ni salama na zimehakikiwa na TFDA na wakemia wa serikali.
Mimi sio mkemia na sijui chochote kuhusu kemia. Kwanza hata sekondari sikusoma. Nilibangaiza bangaiza tu nikaishia shule ya msingi darasa la saba.
Ningependa kuwauliza hawa wanaoitwa "wataalamu wa UVIKO", Je, hilo furushi la chanjo limehakikiwa kwa methodolojia gani?
Kwa kuchukua sampuli chache na kuzihakiki? Au zote? Na kwa namna gani?
Kwa elimu yangu ya hii ya darasa la saba, ninaelewa kwamba, usalama wa chanjo unapimwa kwa MAJARIBIO YA UBORA (clinical trials) ambayo yanalenga kubaini athari za muda mrefu ama muda mfupi, na majaribio hayo yanaweza kuchukua angalau miaka mpaka mitano au zaidi.
Huyo mkemia anayetuambia kwamba amepima chanjo na kuona ziko salama ametumia njia gani haswa ya kisayansi?
Ghafla Bin Vuu tu ndani ya siku moja kaingia maabara na koti lake kakorokochoa test tubes, anatuambia chanjo ni salama? No trials?
Just mixing stuffs in test tubes, that's all?
Hiyo ndiyo sayansi ya Tanzania?
Mmezipimaje haswa hizo chanjo enyi wataalamu wa UVIKO?
Watanzania wana kiu ya kujua!
Siku moja iliyopita, wazungu wametubwagia furushi la chanjo za misaada. Zinaitwa Johnson Johnson.
Furushi hilo lina chanjo milioni moja ambazo zinapaswa kudungwa chap chap. Na hivi kesho tu, Rais Samia anaenda kudungwa chanjo ya uhamasishaji.
Baada ya hofu kuwa kubwa kuhusu usalama wa hizo chanjo, wameibuka wanasiasa wakisema kwamba chanjo ni salama na zimehakikiwa na TFDA na wakemia wa serikali.
Mimi sio mkemia na sijui chochote kuhusu kemia. Kwanza hata sekondari sikusoma. Nilibangaiza bangaiza tu nikaishia shule ya msingi darasa la saba.
Ningependa kuwauliza hawa wanaoitwa "wataalamu wa UVIKO", Je, hilo furushi la chanjo limehakikiwa kwa methodolojia gani?
Kwa kuchukua sampuli chache na kuzihakiki? Au zote? Na kwa namna gani?
Kwa elimu yangu ya hii ya darasa la saba, ninaelewa kwamba, usalama wa chanjo unapimwa kwa MAJARIBIO YA UBORA (clinical trials) ambayo yanalenga kubaini athari za muda mrefu ama muda mfupi, na majaribio hayo yanaweza kuchukua angalau miaka mpaka mitano au zaidi.
Huyo mkemia anayetuambia kwamba amepima chanjo na kuona ziko salama ametumia njia gani haswa ya kisayansi?
Ghafla Bin Vuu tu ndani ya siku moja kaingia maabara na koti lake kakorokochoa test tubes, anatuambia chanjo ni salama? No trials?
Just mixing stuffs in test tubes, that's all?
Hiyo ndiyo sayansi ya Tanzania?
Mmezipimaje haswa hizo chanjo enyi wataalamu wa UVIKO?
Watanzania wana kiu ya kujua!
Hii consent form nimeiona kwenye haya machanjo ya corona tu. Which means, there is a problem.Hivi chanjo zingine kama za surua, malaria au polio watu huwa wanajaza form maalum kabla ya kuchanjwa? Au ni hii chanjo pekee ndiyo unatakiwa kujaza form, na ni kwa sababu gani? Na je, wote waliochanjwa siku ya uzinduzi walichanjwa hii hii Johnson and Johnson au wengine walichanjwa za aina nyingine? Maana hizi chanjo zipo za aina nyingi sana na ubora wake upo tofauti!
Hos 4:6 SUV
Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako.