Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Naona zoezi la kuhamisha magoli linaendelea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We dokta uchwara bado upo?nchi hii ni lazima iendeshwe kijanja...
Mkapa hakuwa na tatizo na mabeberu kwanza yeye ndiyo alikuwa mtatuzi mkubwa wa migogoro iliyo kuwa kati ya Mwendazake na mabeberu, nadhani Mwendazake alimchomoa baada ya kuona anamuingilia sana kwenye mishe zake.Ahahahaahaha,naanza kuelewa sasa Mkapa kwa nini alikuwa wa kwanza kwenye most wanted
Mbona unaandika vitu visivyohusiana?MIMI NITACHANJWA. KAMA WEWE HUTAKI HUO NI UAMUZI WAKO.
KILA MTU AHESHIMU UAMUZI WA MWENZAKE.
CHANJO NI HIYARI!
Jiwe ndo nani?Swali langu lilikua dogo tu...Jiwe yupo wapi?
Kwenye hicho kijarida.Ni wapi hapo wamesema chanjo zimekuja?
Mimi nishapiga mzee, and nipo shwari kabisa, waache hao wafuasi wa Kinjeketile waendeleze upuuzi waoMIMI NITACHANJWA. KAMA WEWE HUTAKI HUO NI UAMUZI WAKO.
KILA MTU AHESHIMU UAMUZI WA MWENZAKE.
CHANJO NI HIYARI!
Jibu swali:Sasa hapo umeletewa wewe au raia wa kigeni na balozi zao wameruhusiwa kuingiza chanjo?
We ulitakaje kwani, kwa sababu wewe uliaminishwa kuwa chanjo ni kutaka kukuua wakushinde vita ya kiuchumi basi hata raia wa kigeni walioko Tz wasichanjwe? We vipi wewe?
Kuna mtu amekupeleka kwapa lako likachanjwe? Si ukae Kimya chato huko sijui wapi uache anaetaka kuchanjwa na achanjwe, au raia wa marekani akichanjwa pale ubalozini kwao inakuathiri na wewe kwenye bega lako unasikia maumivu?
Usiwe na haraka habari kamili zitapatikana katika muda sahihi.Tutajuaje kamba chanjo zimeingia bila kupata taarifa rasmi ya umma?
Hako kahabari wamekaposti facebook huko kwenye kaukurasa cha Gerson Msigwa!
Watu watajuaje?
Hahahaaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi wanipe kazi ya kuwashika matkle bavicha wanapochanjwa ili chanjo ziwe zinapenya vizuri zaidi
[emoji23][emoji23]Mimi bado kijana mbichi,nimefanya mpango mzee wangu apate kwanza.We dokta uchwara bado upo?
Vipi, ushadungwa chanjo ya COVID-19?
Zimeingizwa kinyemela vipi? Yaani hadi Ikulu kutoa waraka kufafanua na kuelezea bado unasema kinyemela? Ulitaka iweje kwani ndio usione kinyemela?Jibu swali:
Kama chanjo ni kitu chema kwanini imeingizwa kinyemela?
Kwanini iwe wakati huu wa drama za sabaya?Zimeingizwa kinyemela vipi? Yaani hadi Ikulu kutoa waraka kufafanua na kuelezea bado unasema kinyemela? Ulitaka iweje kwani ndio usione kinyemela?