Tetesi: Chanjo za Corona zimetua nchini rasmi

Tetesi: Chanjo za Corona zimetua nchini rasmi

Mbona unahangaika sana mkuu hadi unakuwa hueleweki sasa. Shida yako nini hasa tukusaidie maana mwanzo umelalamika kwamba Tanzania imeruhusu chanjo kinyemela tumekujibu kuwa haijaruhusu bado ila maamuzi ya kamati yanakwenda kujadiliwa na baraza la mawaziri, ukageuka ukasema kwanini hata hiyo ya raia wa kigeni imeruhusiwa eti kipindi Sabaya kapelekwa mahakamani nikachukua muda wangu kukuelimisha kuwa kupelekwa mahakamani kwa Sabaya ulitakaje kwani, kila kitu kisimame? Who is Sabaya kwani? Umegeuka sasa unazungumzia msimamo wa Magufuli kuhusu korona!

Unauliza iwapo Rais Samia angetambua msimamo wa Magufuli uko sawa angeunda kamati, ina maana hujui kuwa Rais Samia kaona huo msimamo hauko sawa hadi sasa?

We jamaa usituchoshe. Chanjo sio lazima, wewe kama hutaki kuchanjwa tuliza bega sijui kalio acha wanaotaka kuchanjwa wachanjwe fullstop! Huna haki kuwasemea wengine na kuanzia sasa tambua kupelekwa mahakamani kwa Sabaya ni kama kupelekwa kwa mshtakiwa mwingine yoyote na hakuna mantiki eti kushangaa kwanini kitu fulani kimetokea wakati Sabaya anapelekwa mahakamani. Nakuuliza tena, ULITAKA SABAYA AKIPELEKWA MAHAKAMANI KILA KITU KISIMAME NCHINI?
Sawa.

Vipi, umeshadungwa hayo makalio?

Au bado umeketi kwenye sofa unasubiri waraka wa samia?
 
Vipi, mbona zimeingizwa kinyemela sana?

Wamesubiri wakati ambapo sakata la sabaya limekolea na wao wakachomekeamo na chanjo humo humo!

Kama chanjo ni kitu chema, mbona wanakificha ndani ya habari za akina sabaya? ili watu wasitilie maanani ama?

Mimi nilifikiri ujio wa chanjo ulipaswa kuwekwa wazi ili kila mtu atambue kwamba Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania SAMIA SULUHU HASSAN ameridhia kuchanja watu wake!

Hii ingewapa watu ari ya kudungwa hizo chanjo kutoka ulaya ili tudhibiti gonjwa hatari la corona.

Kwanini wameamua kuziingiza chanjo kupitia vichochoroni tena wakati ambapo umma wa watanzania umejikita na drama za sabaya?

Hakuna japo kavideo cha Rais kutoa tamko na kuhimiza watanzania wadungwe chanjo?View attachment 1808167
Wee jamaa feki sana! Unabandika barua ya zamani hapa ili iweje?
 
Hii nchi ipo kwenye hatari sana, ni hatari sana kuwa na raisi ambaye hajui kusema NO, yeye ni YEs tu kila sehemu , huyu Mama anatia hasira sana yani
Hana uwezo wa kusema NO huyu!

Hata sura yake tu inaonyesha udhaifu na utepetevu wa fikra.

Kila kitu kwake ni tiki... yes madam, yes sir!
 
Sishangai wewe kutokusoma na kuelewa.

Maana wengi wenu humu mna uwezo hafifu wa kuchanganua mambo katika muktadha wake.

Na cha ajabu kuna wengine wanajiita majasusi humu (sijui hata huo ujasusi waliutoa wapi?).

Tanzania inajulikana msimamo wake tangu kipindi cha Rais Magufuli kwamba imekataa kufuata masharti yaliyowekwa kupambana na huo ugonjwa wa kizungu unaoitwa corona.

Kisha mama samia akaunda kamati ili kupima kama huo msimamo wa Rais Magufuli uko sawasawa!

Kamati ikatoa majibu kwamba, msimamo uliowekwa na Rais Magufuli haukuwa sawasawa (as expected).

Unatarajia samia aende tofauti na hilo?

Kama angekuwa anatambua kwa dhati kwamba msimamo wa Rais Magufuli uko sawasawa, unadhani angeunda kamati?
Kilaza mkubwa!
Barua ya zamani ndo ikoje?
Mburula mkubwa!
 
Kama ni nchi ya zanzibar zimeingia rais wake ametangaza hadharani zitakuja hizo chanjo kwa atakae taka atachanjwa ili kuruhusu watu kwenda kuhiji
 
Kwanini iwe wakati huu wa drama za sabaya?

Ni kitu gani wanachoogopa?
Sabaya ni suala la mahakama na ana tuhuma sio igizo, atahukumiwa akikutwa na hatia. Serikali ya JMT haifanyi maigizo, hakuna wa kuitisha jamhuri. Hata raisi akisumbua kuna namna ya kumkumbusha kuwa ni mdogo kwa Jamhuri.
 
Kwani zile Juice za Madagascar hazikuingia kinyemela?

Si ilitoka amri kutoka kwa Jiwe kuwa kina Kabudi wapewe ndege wazifuate!


Zimefika wakanywa wao tu baada ya hapo wanyonge mkaambiwa zinaenda kufanyiwa tafiti hadi leo hii ulishaonja hata kijiko cha ile juice?
images (7).jpeg
 
Kwani zile Juice za Madagascar hazikuingia kinyemela?

Si ilitoka amri kutoka kwa Jiwe kuwa kina Kabudi wapewe ndege wazifuate!


Zimefika wakanywa wao tu baada ya hapo wanyonge mkaambiwa zinaenda kufanyiwa tafiti hadi leo hii ulishaonja hata kijiko cha ile juice?View attachment 1808319
Huyu kabudi nae, tumsamehe tu! Yaani uprofesa wake na mambo ayafanyayo, na sio kuwa hajui ila kumfurahisha jiwe!
 
Back
Top Bottom