Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Hii chanjo ianzie kwa watalamu wenyewe maana ndiyo waliomshauri Samia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chanjo haina tatizo loloteVipi, mbona zimeingizwa kinyemela sana?
Wamesubiri wakati ambapo sakata la sabaya limekolea na wao wakachomekeamo na chanjo humo humo!
Kama chanjo ni kitu chema, mbona wanakificha ndani ya habari za akina sabaya? ili watu wasitilie maanani ama?
Mimi nilifikiri ujio wa chanjo ulipaswa kuwekwa wazi ili kila mtu atambue kwamba Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania SAMIA SULUHU HASSAN ameridhia kuchanja watu wake!
Hii ingewapa watu ari ya kudungwa hizo chanjo kutoka ulaya ili tudhibiti gonjwa hatari la corona.
Kwanini wameamua kuziingiza chanjo kupitia vichochoroni tena wakati ambapo umma wa watanzania umejikita na drama za sabaya?
Hakuna japo kavideo cha Rais kutoa tamko na kuhimiza watanzania wadungwe chanjo?View attachment 1808167
Alitaka Kabudi akazifuate.Ulitaka ziletwe kwa tarumbeta?
Kama za Madagascar?Alitaka Kabudi akazifuate.
Eeeh, alitaka ziletwe kwa mbwembwe sijui dawa amepewa na Rais wa Madagascar mwenyewe, kumbe nae mpigaji tu akaishia kuwa wa kwanza kuvaccinate wananchi wake akakiacha mwendazake kwenye mataa.Kama za Madagascar?
Wanafichaje wakati umeambatanisha na barua rasmi? Ebu nieleweshe..Vipi, mbona zimeingizwa kinyemela sana?
Wamesubiri wakati ambapo sakata la sabaya limekolea na wao wakachomekeamo na chanjo humo humo!
Kama chanjo ni kitu chema, mbona wanakificha ndani ya habari za akina sabaya? ili watu wasitilie maanani ama?
Mimi nilifikiri ujio wa chanjo ulipaswa kuwekwa wazi ili kila mtu atambue kwamba Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania SAMIA SULUHU HASSAN ameridhia kuchanja watu wake!
Hii ingewapa watu ari ya kudungwa hizo chanjo kutoka ulaya ili tudhibiti gonjwa hatari la corona.
Kwanini wameamua kuziingiza chanjo kupitia vichochoroni tena wakati ambapo umma wa watanzania umejikita na drama za sabaya?
Hakuna japo kavideo cha Rais kutoa tamko na kuhimiza watanzania wadungwe chanjo?View attachment 1808167
😂 😂 😂Ulitaka ziletwe kwa tarumbeta?
Sabaya ananihusu nini mimi?Sabaya ameshalala muda huu!!! Sisi bado tunachat!!! Ndo maisha yalivyo!!
Hata Yuda Iskariote alimkana Yesu KristoSabaya ananihusu nini mimi?
Umelewa?Hata Yuda Iskariote alimkana Yesu Kristo
Ndio. Tena kwa miguu miwili.Kwaio ulitaka nchi isimame