Tetesi: Chanjo za Corona zimetua nchini rasmi

Tetesi: Chanjo za Corona zimetua nchini rasmi

Hiyo ni taarifa juu ya mapendekezo ya Rais na kuishirikisha wizara kuhusu kuleta chanjo na akatoa ''Go ahead'' kwa mabalozi wa nchi zingine kuingiza chanjo kwaajili ya watu wao

Hiyo taarifa ya tayari kuingizwa kwa chanjo nchini umeitoa wapi?
 
Ukadungwe wewe na mmeo.

Usiwashawishi watu wasio na hatia kwenda kudungwa sumu.

Wewe na mmeo hata mkiganda damu haina shida sana.

The two of you don't really matter — Losing two fools is not too bad.

What matters is the future generation that we have sworn to protect.
I didn't include even you and your husband.....

My statement was very clear ...didn't you even bother to read with the sane mind ?!!!!

By the way WHO ARE YOU to protect Tanzanians than her Excellency President who recently received the work done by the ad hoc committee on Covid-19 pandemic ?!!!

Stop your stupid ,moronic and deluded mind here.....

No one will even force you and few of desperate conspiracy theories-eaters to receive it ,there are a lot of innocent Tanzanians that need that "jab" including our nurses and doctors who are forefront risking their lives in serving Tanzanians....

#KaziIendelee
#NchiKwanza
#AfyaNiMaliYaMtuSiYaMagengeWalaWanasiasaKoko
#AfyaYaWatanzaniaKwanza
#WanasayansiWetuWameshafanyaKaziYaKutukuka
#SiempreTanzania
#HastaLaVictoriaTanzania
 
Tutajuaje kama chanjo zimeingia bila kupata taarifa rasmi ya umma?

Hako kahabari wamekaposti facebook huko kwenye kaukurasa cha Gerson Msigwa!

Watu watajuaje?
Wewe umejuaje ? Ndo umwambie na jirani yako.zama za kuzunguka kuropoka ropoka hazipo saizi ,kila mtu na uongozi wake mjifunze kwenda na midundo yote
 
Wenye genge lao hawana la kushika wamebakia matusi tu,
Haya magenge hayaaa, bora siku ziende tu
 
I didn't include even you and your husband.....

My statement was very clear ...didn't you even bother to read with the sane mind ?!!!!

By the way WHO ARE YOU to protect Tanzanians than her Excellency President who recently received the work done by the ad hoc committee on Covid-19 pandemic ?!!!

Stop your stupid ,moronic and deluded mind here.....

No one will even force you and few of desperate conspiracy theories-eaters to receive it ,there are a lot of innocent Tanzanians that need that "jab" including our nurses and doctors who are forefront risking their lives in serving Tanzanians....

#KaziIendelee
#NchiKwanza
#AfyaNiMaliYaMtuSiYaMagengeWalaWanasiasaKoko
#AfyaYaWatanzaniaKwanza
#WanasayansiWetuWameshafanyaKaziYaKutukuka
#SiempreTanzania
#HastaLaVictoriaTanzania
Upuuzi mtupu!
 
Mama huwa ni Mtu wa Kimyakimya sio kama wale Wachunga Ng'ombe wa Awamu ya tano
 
Mama huwa ni Mtu wa Kimyakimya
Mtu wa kimya kimya au dhaifu?

Usifiche udhaifu wake kwenye kichaka cha kumzuga ati yeye ni "mtu wa kimya kimya".

Ni dhaifu huyo, amelegea mno.

Hata yeye mwenyewe anajitambua kwamba ni dhaifu, na ameshakiri mara kadhaa hadharani.

Even her own face looks defeated and discombobulated!
 
Back
Top Bottom