Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chanjo zikitolewa kwenye jokofu huwa zinawekwa kwenye vaccine carriers (vibebea chanjo) ambazo Zinatunza kwenye joto linalotakiwa sababu Kuna cool water packs kwenye vibebea chanjo hivyo. Pia ufuatiliaji wa jotoridi Huwa unafanyika hata chanjo zikiwa kwenye vibebea chanjo. Kudos to serikali Kwa kufikisha chanjo Kwa walengwa woteNijuavyo mimi hizo chanjo zinahitaji ubaridi sana, sasa nimewaona wanaojizumgusha nazo kwenye madeli, sijui kama zinabaki na ubora ule ule kwenye barafu
Dereva ni mpya gari la zamani.Mtume! tumefika huko tena? Sema katika hili la chanjo kwanini government haitaki kuadmit kuwa wao ndo wamepelekea hii sintofahamu?Kwani ambao leo hii ni evangelists wa chanjo si ndo wale walisimama kipindi cha bwana yule kusema chanjo ni mbovu?
Binafsi sikatai watu kuchanja lakini kwa hapa tz chanjo imefanyika kama maigizo fulani hivi.Imagine wenzetu wameingia phase ya tatu lakini bado kirusi kimewakazia,sisi na wenge letu lakini bado tunadunda.So, kulikuwepo na ulazima upi wa kubadili approach yetu ya awali?
Ndio tunahitaji kuungana na dunia katika hili lakini mbona hilo jambo mwanzo tulilipuuza?Kwamba hawa officials tulionao kwa sasa wametoka Vietnam au ni wenzetu tu wa Singida na Unguja.
Safi sana .Chanjo zikitolewa kwenye jokofu huwa zinawekwa kwenye vaccine carriers (vibebea chanjo) ambazo Zinatunza kwenye joto linalotakiwa sababu Kuna cool water packs kwenye vibebea chanjo hivyo. Pia ufuatiliaji wa jotoridi Huwa unafanyika hata chanjo zikiwa kwenye vibebea chanjo. Kudos to serikali Kwa kufikisha chanjo Kwa walengwa wote
Haya bwanaSijatumwa mkuu.
Umeziona zimeshapoa kabisa hazina ubaridi unaohitajika?Binafsi siamini kama zinamudu......maana kuna sehemu kijijini nimewaona na hakuna umeme zipo kwenye madeli tu......anywei Acha waendelee kuchanja japo kwa ubaridi unaohitajika sidhani kama chanjo itabaki salama
Sema dereva wa leo si kipindi kile alikuwa tingo ama vp?Dereva ni mpya gari la zamani.
mkuu kuna tofauti kati ya kuogopa na kuwa informed. Wanasema if you know, you know. Huwezi ku-undo ujuacho.Usiogope mkuu.
Umeninukuu vibaya, nimesema kuna sehemu nilipita kijijini sana na hakuna umeme kabisa, na nijuavyo zile dawa utunzaji wake unahitaji ubaridi sana, na zimewekwa kwenye madeli na sehemu yenyewe kuna joto sana, na wapo hapo tangu asubuhi maana wanatoa kwanza elimu.......siamini kama zile dawa zinakua na ubora uleule tuUmeziona zimeshapoa kabisa hazina ubaridi unaohitajika?
Basi hiyo ni hatari mkuu.
wahusika walifanyie kazi hilo kama kuna mapungufu.Umeninukuu vibaya, nimesema kuna sehemu nilipita kijijini sana na hakuna umeme kabisa, na nijuavyo zile dawa utunzaji wake unahitaji ubaridi sana, na zimewekwa kwenye madeli na sehemu yenyewe kuna joto sana, na wapo hapo tangu asubuhi maana wanatoa kwanza elimu.......siamini kama zile dawa zinakua na ubora uleule tu
Ule haukuwa msimamo wa chama bali wa JIWE, na ukweli walikuwa wanaujua bali walikuwa wakimuogopa jiwe, ndio maana unaona wamerudi kwenye mstari.Natamani CCM wangeendelea na msimamo wao wa kukataa chanjo....