#COVID19 Chanjo zimefika hapa msikitini leo

Mtume! tumefika huko tena? Sema katika hili la chanjo kwanini government haitaki kuadmit kuwa wao ndo wamepelekea hii sintofahamu?Kwani ambao leo hii ni evangelists wa chanjo si ndo wale walisimama kipindi cha bwana yule kusema chanjo ni mbovu?

Binafsi sikatai watu kuchanja lakini kwa hapa tz chanjo imefanyika kama maigizo fulani hivi.Imagine wenzetu wameingia phase ya tatu lakini bado kirusi kimewakazia,sisi na wenge letu lakini bado tunadunda.So, kulikuwepo na ulazima upi wa kubadili approach yetu ya awali?

Ndio tunahitaji kuungana na dunia katika hili lakini mbona hilo jambo mwanzo tulilipuuza?Kwamba hawa officials tulionao kwa sasa wametoka Vietnam au ni wenzetu tu wa Singida na Unguja.
 
Nijuavyo mimi hizo chanjo zinahitaji ubaridi sana, sasa nimewaona wanaojizumgusha nazo kwenye madeli, sijui kama zinabaki na ubora ule ule kwenye barafu
Chanjo zikitolewa kwenye jokofu huwa zinawekwa kwenye vaccine carriers (vibebea chanjo) ambazo Zinatunza kwenye joto linalotakiwa sababu Kuna cool water packs kwenye vibebea chanjo hivyo. Pia ufuatiliaji wa jotoridi Huwa unafanyika hata chanjo zikiwa kwenye vibebea chanjo. Kudos to serikali Kwa kufikisha chanjo Kwa walengwa wote
 
Mtume! tumefika huko tena? Sema katika hili la chanjo kwanini government haitaki kuadmit kuwa wao ndo wamepelekea hii sintofahamu?Kwani ambao leo hii ni evangelists wa chanjo si ndo wale walisimama kipindi cha bwana yule kusema chanjo ni mbovu?

Binafsi sikatai watu kuchanja lakini kwa hapa tz chanjo imefanyika kama maigizo fulani hivi.Imagine wenzetu wameingia phase ya tatu lakini bado kirusi kimewakazia,sisi na wenge letu lakini bado tunadunda.So, kulikuwepo na ulazima upi wa kubadili approach yetu ya awali?

Ndio tunahitaji kuungana na dunia katika hili lakini mbona hilo jambo mwanzo tulilipuuza?Kwamba hawa officials tulionao kwa sasa wametoka Vietnam au ni wenzetu tu wa Singida na Unguja.
Dereva ni mpya gari la zamani.
 
Chanjo zikitolewa kwenye jokofu huwa zinawekwa kwenye vaccine carriers (vibebea chanjo) ambazo Zinatunza kwenye joto linalotakiwa sababu Kuna cool water packs kwenye vibebea chanjo hivyo. Pia ufuatiliaji wa jotoridi Huwa unafanyika hata chanjo zikiwa kwenye vibebea chanjo. Kudos to serikali Kwa kufikisha chanjo Kwa walengwa wote
Safi sana .
 
Binafsi siamini kama zinamudu......maana kuna sehemu kijijini nimewaona na hakuna umeme zipo kwenye madeli tu......anywei Acha waendelee kuchanja japo kwa ubaridi unaohitajika sidhani kama chanjo itabaki salama
Umeziona zimeshapoa kabisa hazina ubaridi unaohitajika?
Basi hiyo ni hatari mkuu.
 
Umeninukuu vibaya, nimesema kuna sehemu nilipita kijijini sana na hakuna umeme kabisa, na nijuavyo zile dawa utunzaji wake unahitaji ubaridi sana, na zimewekwa kwenye madeli na sehemu yenyewe kuna joto sana, na wapo hapo tangu asubuhi maana wanatoa kwanza elimu.......siamini kama zile dawa zinakua na ubora uleule tu
 
Nimekupata.....

wahusika walifanyie kazi hilo kama kuna mapungufu.
 
Hii niko mwenyewe mkuu.
 
Hofu, wasiwasi na uoga ni kitu hatar sana kwa maisha ya mwanadamu
 
Natamani CCM wangeendelea na msimamo wao wa kukataa chanjo....
Ule haukuwa msimamo wa chama bali wa JIWE, na ukweli walikuwa wanaujua bali walikuwa wakimuogopa jiwe, ndio maana unaona wamerudi kwenye mstari.
 
Back
Top Bottom