Hahaha....Waganga wa kienyeji, wachawi, wapiga ramli, watends miujiza na wasoma nyota wameshindwa kuwasaidia walipe mishahara?
Maana ndio chaneli yao.
Hahahahaha. Mzee Mkinga siku hizi kapotelea wapi.Ina wafanyakazi wangapi? Waende lumumba kuna pesa ya kununua madiwani na wabunge wawanunue na wao au wao hawanunuliki? Au makwai na mkinga hawana pesa from lumumba sababu ndiyo uwanja wao wa propaganda sasa wataishi vip mjini kama hiyo channel haipo?
Wadau hali ya kiuchumi kwa makampuni binafsi ni tete sana. Taarifa za kuaminika kutoka Channel Ten zinadai kuwa Hali ya kampuni hiyo ni mbaya na wafanyakazi wamekaa miezi miwili sasa bila mshahara.
Sababu za hali hiyo ni kushuka kwa mapato kutokana na makampuni makubwa kusitisha matangazo yao kutokana na ukata. Makampuni ya Mabango pia yanatajwa kuwa katika hali ngumu.
Makwaia yule mzee siwezagi kumsikiliza kabisaaa hana utulivu kabisaa na akili zake haziko sawa 'upstairs",samahanini lkn.Ina wafanyakazi wangapi? Waende lumumba kuna pesa ya kununua madiwani na wabunge wawanunue na wao au wao hawanunuliki? Au makwai na mkinga hawana pesa from lumumba sababu ndiyo uwanja wao wa propaganda sasa wataishi vip mjini kama hiyo channel haipo?