Tetesi: Channel Ten hoi kifedha, mishahara yakosekana miezi miwili

Tetesi: Channel Ten hoi kifedha, mishahara yakosekana miezi miwili

Sasa si waongee na Humphrey POLEPOLE awatolee hela kwenye fungu la propaganda la CCM mana kipindi kile Polepole kila TV haitaki kumuona ila Channel 10 kwa uungwana wao walimchukua Polepole nasikia hadi wakampa na Chumba chake hapo Ch10
[emoji2] [emoji1] hahaha....lol jamani,hichonchumba akawa anafanyia nini? Hiyo TV aulizwe vema Ramesh Patel anajua maana ni mmoja wa maMD hapo
 
Back
Top Bottom