siku ile CHADEMA wamehutubia Jangwani, eti kumbe vyombo vyenu vilikua vibovu,na mlikua "WAUNGWANA kwerikweri" mkaomba radhi...leo vyombo vyenu ni bomba mbaya, mmeweza kurekodi ipasavyo...ila kumbukeni kitu kimoja,Watanzania si wajinga milele,televisheni zipo nyingi sana...mtafulia soon, waulizeni NEW HABARI, magazeti yanauzwa kwa mizani, yanafungia vitumbua na mihogo uswahilini...
Channel ya mafisadi hiyo. Nasubiri saa mbili usiku.
Sio channel 10 pekee, ITV na TBC zote hazijagusia kabisa habari ya kuanguka mkulu.
Kama hali ni hiyo, uchaguzi wa mwaka huu, naweza kusema "ngoma inogile". Gazeti la Tanzania Daima nadhani ndilo pekee litatupa habari za upande wa pili.
DO NOT mix the two of us please...Samahani kabla sijachangia, eti wewe ndiye yule Mod enheee!!
Waliposema mwafrika IQ yake ni ndogo hawakukosea!! Sasa wasipotangaza/onyesha si ndio speculation zitakuwa nyingi! Watu wakisema HAWAKUONYESHA kwa sababu ni baba wa taifa alikuja kwa nyuma na kile kifimbo chake akamweka mkwaju wa utosini si wengi wataamini?Sio channel 10 pekee, ITV na TBC zote hazijagusia kabisa habari ya kuanguka mkulu.
Kama hali ni hiyo, uchaguzi wa mwaka huu, naweza kusema "ngoma inogile". Gazeti la Tanzania Daima nadhani ndilo pekee litatupa habari za upande wa pili.
Waliposema mwafrika IQ yake ni ndogo hawakukosea!! Sasa wasipotangaza/onyesha si ndio speculation zitakuwa nyingi! Watu wakisema HAWAKUONYESHA kwa sababu ni baba wa taifa alikuja kwa nyuma na kile kifimbo chake akamweka mkwaju wa utosini si wengi wataamini?
Sio channel 10 pekee, ITV na TBC zote hazijagusia kabisa habari ya kuanguka mkulu.
Kama hali ni hiyo, uchaguzi wa mwaka huu, naweza kusema "ngoma inogile". Gazeti la Tanzania Daima nadhani ndilo pekee litatupa habari za upande wa pili.
TBC wamezungumzia ila hawajaonyesha
about Tanzania Daima, Raia Mwema na mwanaHalisi hayatawafikia watanzania mana YANATAFUNWA NA MONSTER KABLA HAYAJASAMBAA MIKOANI, MOSTER ZINAYANUNUA KWA WING NA KUYATAFUNA
DO NOT mix the two of us please...
CCM WANASEMA.....SAFARI HII NI USHINDI KUZIDI ULE WA 2005.......INSPEKTA HARUN ALIKUWEPO....MARLAW...BANANA ZORRO.....ASHA BARAKA...CAPTAIN KOMBA....WANA-NGWASUMA WALISUUZA JUKWAA......TWANGA PEPETA...STONO MUSICA...JAHAZI TAARABU......WALIOMALIZIA KABISA MWANAWANE NI ......MASANJA MWAFILIKA A.K.A...A.K.K.K.A......A.k.a mkandamizaji ze komedi orijino...huku mpoki akimuiga kepteni KOMBA WAKATI KOMBA AKIANGALIA KWA MAKINI ZAIDI
Mkuu samahani nilitania tu, kweli kusoma sijuwi lakini hata picha naona!
Mkuu mbona umechelewa kujua hili teh teh...Kwa hiyo unatuambia CCM pia ni ENTERTAINERS au kama ni WATUMBUIZAJI, ni wa KIZAZI KIPI??!