Elections 2010 Channel Ten: Hongereni, kumnaweza eee!!

Mdau

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2008
Posts
1,789
Reaction score
473
siku ile CHADEMA wamehutubia Jangwani, eti kumbe vyombo vyenu vilikua vibovu,na mlikua "WAUNGWANA kwerikweri" mkaomba radhi...leo vyombo vyenu ni bomba mbaya, mmeweza kurekodi ipasavyo...ila kumbukeni kitu kimoja,Watanzania si wajinga milele,televisheni zipo nyingi sana...mtafulia soon, waulizeni NEW HABARI, magazeti yanauzwa kwa mizani, yanafungia vitumbua na mihogo uswahilini...
 
Hata mimi nimeangalia taarifa yao ya habari. Hawajasema chochote juu ya kuanguka kwa Kikwete. Nimeshangaa kidogo. Ilipaswa waseme kwani huyu ni mkuu wa nchi bado hata kama alikuwa kama mgombea uraisi kupitia CCM.

Channel ya mafisadi hiyo. Nasubiri saa mbili usiku.
 
Sio channel 10 pekee, ITV na TBC zote hazijagusia kabisa habari ya kuanguka mkulu.

Kama hali ni hiyo, uchaguzi wa mwaka huu, naweza kusema "ngoma inogile". Gazeti la Tanzania Daima nadhani ndilo pekee litatupa habari za upande wa pili.
 
Nime angalia STAR TV wamegusia japokuwa awajaonyesha alianguka vipi!
 
Sio channel 10 pekee, ITV na TBC zote hazijagusia kabisa habari ya kuanguka mkulu.

Kama hali ni hiyo, uchaguzi wa mwaka huu, naweza kusema "ngoma inogile". Gazeti la Tanzania Daima nadhani ndilo pekee litatupa habari za upande wa pili.
Waliposema mwafrika IQ yake ni ndogo hawakukosea!! Sasa wasipotangaza/onyesha si ndio speculation zitakuwa nyingi! Watu wakisema HAWAKUONYESHA kwa sababu ni baba wa taifa alikuja kwa nyuma na kile kifimbo chake akamweka mkwaju wa utosini si wengi wataamini?
 
Inawezekana Ikulu wamepiga mkwara ile picha inayomwonyesha mkulu alivyopiga mwereka isionyeshwe.
Hapa ndo tofauti ya nchi. Maskini na nchi tajiri inapoonekana.
Aliyekuwa rais wa marekani John F kenedy hadi leo video jinsi alivyopigwa risasi inaonyeshwa hadi leo.
 
Waliposema mwafrika IQ yake ni ndogo hawakukosea!! Sasa wasipotangaza/onyesha si ndio speculation zitakuwa nyingi! Watu wakisema HAWAKUONYESHA kwa sababu ni baba wa taifa alikuja kwa nyuma na kile kifimbo chake akamweka mkwaju wa utosini si wengi wataamini?

kuna watu wana akili sana.........
 
Sio channel 10 pekee, ITV na TBC zote hazijagusia kabisa habari ya kuanguka mkulu.

Kama hali ni hiyo, uchaguzi wa mwaka huu, naweza kusema "ngoma inogile". Gazeti la Tanzania Daima nadhani ndilo pekee litatupa habari za upande wa pili.

TBC wamezungumzia ila hawajaonyesha

about Tanzania Daima, Raia Mwema na mwanaHalisi hayatawafikia watanzania mana YANATAFUNWA NA MONSTER KABLA HAYAJASAMBAA MIKOANI, MOSTER ZINAYANUNUA KWA WING NA KUYATAFUNA
 
Zile 50bn zilizochangishawa ndo zinafanya kazi hii ya kutafuna
 
CCM WANASEMA.....SAFARI HII NI USHINDI KUZIDI ULE WA 2005.......INSPEKTA HARUN ALIKUWEPO....MARLAW...BANANA ZORRO.....ASHA BARAKA...CAPTAIN KOMBA....WANA-NGWASUMA WALISUUZA JUKWAA......TWANGA PEPETA...STONO MUSICA...JAHAZI TAARABU......WALIOMALIZIA KABISA MWANAWANE NI ......MASANJA MWAFILIKA A.K.A...A.K.K.K.A......A.k.a mkandamizaji ze komedi orijino...huku mpoki akimuiga kepteni KOMBA WAKATI KOMBA AKIANGALIA KWA MAKINI ZAIDI
 
Kimemo kilisambaa fasta kwenye media. Hata wewe ungenywea tu
 
CCM WANASEMA.....SAFARI HII NI USHINDI KUZIDI ULE WA 2005.......INSPEKTA HARUN ALIKUWEPO....MARLAW...BANANA ZORRO.....ASHA BARAKA...CAPTAIN KOMBA....WANA-NGWASUMA WALISUUZA JUKWAA......TWANGA PEPETA...STONO MUSICA...JAHAZI TAARABU......WALIOMALIZIA KABISA MWANAWANE NI ......MASANJA MWAFILIKA A.K.A...A.K.K.K.A......A.k.a mkandamizaji ze komedi orijino...huku mpoki akimuiga kepteni KOMBA WAKATI KOMBA AKIANGALIA KWA MAKINI ZAIDI

Kwa hiyo unatuambia CCM pia ni ENTERTAINERS au kama ni WATUMBUIZAJI, ni wa KIZAZI KIPI??!
 
Mkuu samahani nilitania tu, kweli kusoma sijuwi lakini hata picha naona!

KAbadili shati lakini mtu ni yuleyule!Wala usihangaike kumpa vipande asije akakuban mara moja,hachelewi huyo!
 
Back
Top Bottom