Mdau
JF-Expert Member
- Mar 29, 2008
- 1,789
- 473
siku ile CHADEMA wamehutubia Jangwani, eti kumbe vyombo vyenu vilikua vibovu,na mlikua "WAUNGWANA kwerikweri" mkaomba radhi...leo vyombo vyenu ni bomba mbaya, mmeweza kurekodi ipasavyo...ila kumbukeni kitu kimoja,Watanzania si wajinga milele,televisheni zipo nyingi sana...mtafulia soon, waulizeni NEW HABARI, magazeti yanauzwa kwa mizani, yanafungia vitumbua na mihogo uswahilini...