Mama Mwana
JF-Expert Member
- Jun 6, 2023
- 2,435
- 7,784
Hello guys!!
Yani naomba niweke wazi mimi sichukii dini ya mwengine lakini kwa hili la channel ten plus you guys sjui mlifikiria nini.
Kunaye huyo mchungaji ni anaoga tope anagara gara, anaoga vumbi, anaoga maji ya kwenye pipa na suti yake, mnaomiliki hii channel mlifikiria kama kuna sisi watazamaji mnatukera?
Kibaya zaidi mna kipindi mnaendesha kinaitwa chachandu kinakuwa mchana leo sasa mada ilikua ni kuhusu mishangazi yani like seriously??
Nilikua naipenda kwa sababu napenda music lakini mnaiharibu kutuwekea vitu havina mantiki,fikirieni upya kitu mnafanya na huyo mchungaji wenu mnaye mpa promo.