Mama Mwana
JF-Expert Member
- Jun 6, 2023
- 2,435
- 7,784
- Thread starter
- #61
hilo sio la kuniambia nangaliaga sana sana lakini si kuna muda utataka uone ngoja nitafute vitu vingine sio kila siku katuni lazima ubalansishe mamboAngalia hata katuni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hilo sio la kuniambia nangaliaga sana sana lakini si kuna muda utataka uone ngoja nitafute vitu vingine sio kila siku katuni lazima ubalansishe mamboAngalia hata katuni
Mishangazi kukuhudumia ni kitu cha kawaida si mshakuwa wapenzi na mapenzi ni kusaidiana. Mapenzi sio umri mbona mabinti wanaolewa na watu wakubwa umri wa baba zao na hamshangai....Kwangu sio sawa ila hawa vijana wana maelezo zaidi , hawa kwao mishangazi ni fursa. Yaani kazi yao ni kua na engine ya kasongo tu, shangazo akiridhika na show anatoa maokoto.
Cc
Poor Brain
PSL god
Jordy05
🤣🤣sina unataka kunipa?
Kondoo wanapenda mchungaji wao kugalagala kama kambale kwenye mitope!Lakini umewauliza kondoo wenyew kama wanapenda au hawapendi ?
Angalia hata DHAMBIhilo sio la kuniambia nangaliaga sana sana lakini si kuna muda utataka uone ngoja nitafute vitu vingine sio kila siku katuni lazima ubalansishe mambo
au sioAngalia hata DHAMBI
ina bendera ya Tanzania mbele, leo pia alikuwepo kavaa vizur nywele zimeshindiliana utasema msitu wa amazonMimi pia nilimuona Muheshimiwa mchungaji kwa hiyo chanell kavaa suti ya maguniaa nikacheka sanaa...
Uwe na wakati mwema Nduguau sio
same to you pal.Uwe na wakati mwema Ndugu