Channel Ten plus mna matatizo gani?

Channel Ten plus mna matatizo gani?

Una hoja ntajaribu kumzingatia...kumbuka mpaka anafika Hapo amelipia huduma hajaja BURE BURE nowadays Watu wako after money hawajali wateja mtasemaje ...

Ratiba inakuwepo hapo chini ,kuna button unagusa inaonyesha mpangilio mzima WA siku Hadi wiki MDA mwingine hivo unakuwa hupati tabu
channel ten plus mara nyingi hawaweki hua najua kusoma programms zinazofuata lakini naomba upate walau dakika tano umtizame, nahisi he is not okay upstairs, kuna kitu kwneye akili yake hakiko sawa either ana ugonjwa wa akili au anatafuta kiki, and guess what kanisa lake linapatikana nahis mwenge kwa mujibu wa matangazo
 
Mchungaji kalipia kipindi wacha atafute pesa ya kulipia vipindi vijavyo.
Badilisha channel uwe na amani.
 
Ni sangapi huwa anakuwepo huyo pastor
 
wewe iotee tu sina clip, yan mchungaji rupo rafu, anavaa magunia yale ya katani, anachukua mchanga anajimwagia, anagaragara kwenye tope kambare akasome ningekua najua nna ya kuifuta ningeshaidelete siku mingii
hebu ongeza nyama anapofanya hivyo anakuwa anahuburi, anatoa pepo au ananena la lugha?
 
Mchungaji kalipia kipindi wacha atafute pesa ya kulipia vipindi vijavyo.
Badilisha channel uwe na amani.
najua lakini hio ni miongoni mwa my fav channel ilikua ni entertainment hope hata huyo mchungaji he is not serious, anatuentertain tu,
 
hebu ongeza nyama anapofanya hivyo anakuwa anahuburi, anatoa pepo au ananena la lugha?
mimi namkuta tu anaogelea yale maji sometimes kimya sometimes anaongea kwa kiswahili anaombea huduma yake haikufany umuone kama mchungaji bali kama kibaka flani alie jificha nyuma ya kivuli cha unabii
 
Kuna watu wanapenda hayo manjonjo ya huyo mchungaji mkuu kupitia hiyo channel ya mikumi tena, ukiona hivyo ujue wewe sio mlengwa wao.
 
najua lakini hio ni miongoni mwa my fav channel ilikua ni entertainment hope hata huyo mchungaji he is not serious, anatuentertain tu,
Lipia dau kubwa zaidi ya mchungaji tufute kipindi chake.
Ile ni TV ya biashara.
Karibu ofisini tukupe bill.
 
Lipia dau kubwa zaidi ya mchungaji tufute kipindi chake.
Ile ni TV ya biashara.
Karibu ofisini tukupe bill.
ahaa kumbe nyie ndio wahusika so you guys mnapokea tu hela hata kwa kibaka anayetaka kuonesha watu anavyoibia watu hela? anyway nielekeze namna ya kuignore hio chanel yan stak kuiona kabisa nibonyeze ngapi vile?
 
Hello guys!!

Yani naomba niweke wazi mimi sichukii dini ya mwengine lakini kwa hili la channel ten plus you guys sjui mlifikiria nini.

Kunaye huyo mchungaji ni anaoga tope anagara gara, anaoga vumbi, anaoga maji ya kwenye pipa na suti yake, mnaomiliki hii channel mlifikiria kama kuna sisi watazamaji mnatukera?

Kibaya zaidi mna kipindi mnaendesha kinaitwa chachandu kinakuwa mchana leo sasa mada ilikua ni kuhusu mishangazi yani like seriously??

Nilikua naipenda kwa sababu napenda music lakini mnaiharibu kutuwekea vitu havina mantiki,fikirieni upya kitu mnafanya na huyo mchungaji wenu mnaye mpa promo.
Duu! Hizi imani! Kwanini anagalagala kwenye tope na vumbi? Huwa anatoa sababu ya kufanya hivyo?
 
Back
Top Bottom