Mama Mwana
JF-Expert Member
- Jun 6, 2023
- 2,435
- 7,784
Tumsikilize mchungaji kwanzaHuyo mchungaji japo sijaangalia kipindi ila naona ana shida mahali kulingana na maelezo yako
Tumsikilize mchungaji kwanza
Yuchubu channelTutampatia wapi sasa?🤣🤣🤣
Duuh,kunaye huyo mchungaji ni anaoga tope anagara gara, anaoga vumbi, anaoga maji ya kwenye pipa na suti yake,
Wamiliki wa "Channel Ten" ni chama cha Mbogambogamnaomiliki hii channel mlifikiria kama kuna sisi watazamaji mnatukera?
wewe iotee tu sina clip, yan mchungaji rupo rafu, anavaa magunia yale ya katani, anachukua mchanga anajimwagia, anagaragara kwenye tope kambare akasome ningekua najua nna ya kuifuta ningeshaidelete siku mingiiDuuh,
Makubwa hayo.
Tupia clip basi kama unayo.
Wamiliki wa "Channel Ten" ni chama cha Mbogamboga
mkuu nishalipia nilijua ni swala la siku moja lakini leo nikasema nijaribu kuichungulia nione shabash ndio namkuta anaogelea topeLipia kifurushi
jaribu siku moyasijaangalia hizo channel mda ikiwemo channel nyenginezo za Tanzania
siku namuona kwa mara ya kwanza nikasema hiki ni kituko gan tunawekewa? hata weee ukiangalia unaona kabisa hell no siwezi kuangalia huo ujingaHuyo mchungaji japo sijaangalia kipindi ila naona ana shida mahali kulingana na maelezo yako
sadly enough mtangazaji wao mmoja amekaa kama choko flani hivi am soryy kaa nitakua too judgemental, lakini iko shida sio bure eti harakati za mishangazi na hasara zao hehehe mbona mwaka unaenda resi sana.Mshangazi mmefanyaje tena
La msingi panga ratiba yako Muda WA kuangalia hio channel,vipindi vinakuwa vishapangwa angalia katika channel vizuri....Kinachokukera ww,kinamvutia mwinginehello guys!!
yani naomba niweke wazi mimi sichukii dini ya mwengine lakini kwa hili la channel ten plus you guys sjui mlifikiria nini. kunaye huyo mchungaji ni anaoga tope anagara gara, anaoga vumbi, anaoga maji ya kwenye pipa na suti yake, mnaomiliki hii channel mlifikiria kama kuna sisi watazamaji mnatukera? kibaya zaidi mna kipindi mnaendesha kinaitwa chachandu kinakuwa mchana leo sasa mada ilikua ni kuhusu mishangazi yani like seriously?? nilikua naipenda kwa sababu napenda music lakini mnaiharibu kutuwekea vitu havina mantiki,fikirieni upya kitu mnafanya na huyo mchungaji wenu mnaye mpa promo.
it doesnt make any sense kuangalia huyo pastor wallah nakuapia, yani amekaa kimchongo hivi sikatai lakini i wish umuone tatizo sjui ratiba zao mm hua naswitch channel tu then boom mauza uzaLa msingi panga ratiba yako Muda WA kuangalia hio channel,vipindi vinakuwa vishapangwa angalia katika channel vizuri....Kinachokukera ww,kinamvutia mwingine