Channel Ten plus mna matatizo gani?

Ukome kuangalia Chanel ya CCM hio
 
hakuna namna naweza idelete hio chanel? sio siri inaniboa,anashindwaje kua smart?
Wanalipia shoga yangu, halafu msimamizi wa vipindi anapokea tu bila kuangalia kilichomo ndani. Na pesa ndo ishaingia hivo hadi mkataba uishe.
 
Alinikela alipo oga kabisa maji kutoka kwenye pipa,
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nilijua niko peke yangu, nina rafiki yang sku moja nikamwambia leo kuona nikatext shoga hebu tune ile channel yule pastor yupo hewani akanijibu haya ni mapya makubwa tena
 
it doesnt make any sense kuangalia huyo pastor wallah nakuapia, yani amekaa kimchongo hivi sikatai lakini i wish umuone tatizo sjui ratiba zao mm hua naswitch channel tu then boom mauza uza
Una hoja ntajaribu kumzingatia...kumbuka mpaka anafika Hapo amelipia huduma hajaja BURE BURE nowadays Watu wako after money hawajali wateja mtasemaje ...

Ratiba inakuwepo hapo chini ,kuna button unagusa inaonyesha mpangilio mzima WA siku Hadi wiki MDA mwingine hivo unakuwa hupati tabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…