Channel ya YouTube ya Diamond Platnumz yafutwa (Terminated)

Channel ya YouTube ya Diamond Platnumz yafutwa (Terminated)

Wewe malay hiyo ni biashara kubwa sana diamond hawezi ifanyia ujinga ana contact kubwa kubwa za watu walio serious na biashara huu utumbo wenu peleken uko kwa mapoyoyo wenzenu
Malaya nime kugongea mama yako.
 
View attachment 2200037

Siku mbili tangu akaunti ya YouTube ya Diamond Platnumz iliporipotiwa kudukuliwa, akaunti hiyo imeondolewa na YouTube wenyewe kwa kilichoandikwa kuwa mtumiaji amekiuka masharti ya mtandao huo.

Inadaiwa kuwa baada ya kudukuliwa uongozi wa msanii huyo wa Bongo Fleva ulifanikiwa kuirejesha mikononi mwao lakini wadukuaji walirejea na kuanza kuichezea ndipo YouTube wakaamua kuifuta.

Mkuu wa Digital wa Wasafi afung
Ackim amesema: "Kutokana na Channel ya @diamondplatnumz kudukuliwa Jumapili iliyopita na wadukuzi kuingia Live. Leo Imezuiliwa na YouTube kutokana na maudhui yale kuvunja sheria za YouTube! Tumeshafanya mawasiliano ya awali kutatua tatizo hili. Tuendelee kuwa wavumilivu kila kitu kitakuwa sawa."
Imerudi eti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waungwana ni imani yangu mu wazima wa afya naomba kuwasilisha hoja

Ni kwa nini YouTube channel ya Diamond platnums imefungwa

Je itarudishwa na kama ndio ni hatua gani zitachukuliwa
 
Huyo Diamond Ndie nani hapa Daslam maana hiki Kijiji kina wakazi wa Kila aina,
Halafu nilisahau
Picha ipo wapi?
 
Account ikishakuwa terminated ndo basi tena. Sio kosa la YOUTUBE hilo.
 
Hater nimeleta mrejesho

This account has been terminated for violating YouTube's Community Guidelines.

Account imeondoka kimoja
 
Mshambiwa ac imerudi

Ova

Never! Hiyo imekufa mazima. Hapo labda aende ofisi za youtube physicaly akalie kibongo ndo watamuelewa.

Au labels kubwa kama Warner Bros SA au Universal Music waingilie kati ndo wataikomboa. Ila kama anamtumia yule IT wake basi atasubiri hadi Jesus arudi.
 
Never! Hiyo imekufa mazima. Hapo labda aende ofisi za youtube physicaly akalie kibongo ndo watamuelewa.

Au labels kubwa kama Warner Bros SA au Universal Music waingilie kati ndo wataikomboa. Ila kama anamtumia yule IT wake basi atasubiri hadi Jesus arudi.
Ukireport youtube wanakusaidia, maswala ya Cybersecurity, user humsaidia provider ktk kuboresha miundombinu yake ya kiusalama,sababu hili halimuumizi Diamond bali hata youtube kwao wanaumia kweni hawajui kesho itakuwa kwa nani, manake wanakosa mapato matangazo hayaendi hewani.

Hata VEVO acc zao zilishawahi kuhackiwa na wakabadilisha majina ya nyimbo zote na kuweka jina la Crew yao.
 
Back
Top Bottom