Never! Hiyo imekufa mazima. Hapo labda aende ofisi za youtube physicaly akalie kibongo ndo watamuelewa.
Au labels kubwa kama Warner Bros SA au Universal Music waingilie kati ndo wataikomboa. Ila kama anamtumia yule IT wake basi atasubiri hadi Jesus arudi.