Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Mimi ni mpenzi sana wa kutizama channel za waislam hasa TV Imaan na Swahili TV ya mombasa.
Changamoto inayojitokeza ni mijadala inayoendeshwa katika channel hizi mara nyingi huzungumzia mambo ya ndoa.
Kupeana mapenzi moto moto kwa wanandoa (mawarda) na kuoa wake zaidi ya mmoja, kuna wengine suala la kuoa limekuwa changamoto kutokana na changamoto za kiuchumi tulizonazo.
Mfano, unakwenda kuposa, posa inakubaliwa mziki unakuja kwenye mahari, unaambiwa mahari kuubwa mwisho wa siku unaamua kuaga na kutokurudi.
Waja wa allah hasa waendeshaji wa hivyo vipindi punguzeni baadhi yetu tunaumia roho tukiona mnazungumzia mawarda...😁😁