Naona hamna aliejibu swali lako Kwa mapana;
Kazi kubwa ya channel za dini ni kuieneza dini husika.
Ukristo ulienea Kwa mahubiri,ndomaana channel za kikristo kama za kkt/kisabato/RC zimejikita kwenye mahubiri na mimbo kuendelea kuieneza Kwa staili hio.
Manabii na mitume wanapata wateja kupitia miujiza Yao, ndomaana channel za watu kama kina mwamposa kila saa zinaonesha miujiza ya mwamposa.
Sasa kwenye uislam, Ulisambaa Duniani Kwa njia kuu 3
1.Biashara
2.Mapanga/Utumwa/Conquest
3.Kuzaliana.
Sasa kwakuwa Kwa Dunia ya sasa Biashara imeshasambaa sio ya waarabu TU au waislam ni mtu yoyote anaweza kuzifanya, Na ni ngumu Tena kutumia mapanga (wamebaki wachache wanaotumia mbinu hii, kina Boko Haram,ISIS,Al shabab etc.)
Kwahyo Kwa nchi kama Tanzania, njia pekee ya kueneza uislam iliyobakia ni kuzaliana.
Ndomaana hizo channel basi zinajikita kuongelea ndoa. Na kutilia mkazo point kuu nne (4).
1.Wanaume kuoa wanawake wengi ili wazae watoto wengi.
2.Wanawake kuwa waaminifu Kwa waume zao na kuzaa watoto wengi wa ndoa.
3.Muislam wa kike au kiume kamwe asioe/kuolewa na mkristo na kuhama dini (Maana utapunguza idadi ya waumini).
4.Muislam wa kiume, kama akipata nafasi, anashauriwa aoe wakristo Kwa lengo la kuwabadili dini (uislam uenee)