Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Mawarda raha.mawarda...😁😁
Naziona points humu!!!Naona hamna aliejibu swali lako Kwa mapana;
Kazi kubwa ya channel za dini ni kuieneza dini husika...
Randy ortonNaona hamna aliejibu swali lako Kwa mapana;
Kazi kubwa ya channel za dini ni kuieneza dini husika.
Ukristo ulienea Kwa mahubiri,ndomaana channel za kikristo kama za kkt/kisabato/RC zimejikita kwenye mahubiri na mimbo kuendelea kuieneza Kwa staili hio.
Manabii na mitume wanapata wateja kupitia miujiza Yao, ndomaana channel za watu kama kina mwamposa kila saa zinaonesha miujiza ya mwamposa.
Sasa kwenye uislam, Ulisambaa Duniani Kwa njia kuu 3
1.Biashara
2.Mapanga/Utumwa/Conquest
3.Kuzaliana.
Sasa kwakuwa Kwa Dunia ya sasa Biashara imeshasambaa sio ya waarabu TU au waislam ni mtu yoyote anaweza kuzifanya, Na ni ngumu Tena kutumia mapanga (wamebaki wachache wanaotumia mbinu hii, kina Boko Haram,ISIS,Al shabab etc.)
Kwahyo Kwa nchi kama Tanzania, njia pekee ya kueneza uislam iliyobakia ni kuzaliana.
Ndomaana hizo channel basi zinajikita kuongelea ndoa. Na kutilia mkazo point kuu nne (4)
1.Wanaume kuoa wanawake wengi ili wazae watoto wengi
2.Wanawake kuwa waaminifu Kwa waume zao na kuzaa watoto wengi wa ndoa
3.Muislam wa kike au kiume kamwe asioe/kuolewa na mkristo na kuhama dini (Maana utapunguza idadi ya waumini)
4.Muislam wa kiume, kama akipata nafasi, anashauriwa aoe wakristo Kwa lengo la kuwabadili dini (uislam uenee)
PumbavuSasa kama moja ya ahadi kwao ni kukutana na mabikra 72 Peponi unategemea wawaze nini wakiwa duniani ?
Udini umetoka wapi , onyesha comment yangu jata moja ya uongo.Randy orton
jiwe angavu
Mcqueenen
dudus n.k n.k n.k
Ninyi mnatakiwa mkae pamoja, maprofesa wa udini [emoji16] hatari sana
Umeongea mulemule..uislamu umebakiza njia hiyo tu ya kuzaliana tofauti na hapo nani wakuupokea huo uislamu..dini imejaa mapanga..pia nani anakaa asikilize mahubiri ya kiarabu...lugha yenyewe haieleweki hata wao wengi wamekaririshwa tu.Naona hamna aliejibu swali lako Kwa mapana;
Kazi kubwa ya channel za dini ni kuieneza dini husika...
Chief hakuna udini ila tunapenda tu kuhoji..au kuna ubaya[emoji28][emoji28] usiniwekee fatwa kama salman.Randy orton
jiwe angavu
Mcqueenen
dudus n.k n.k n.k
Ninyi mnatakiwa mkae pamoja, maprofesa wa udini [emoji16] hatari sana
Chief hakuna udini ila tunapenda tu kuhoji..au kuna ubaya[emoji28][emoji28] usiniwekee fatwa kama salman.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kuto zungumzia hakufanyi kuwa wakristo hawapendi ngono,
Huko manisani leo tunaona wake za wake za watu, wanavyotomeka.
Ukitaka kuliona hili, kaa karibu siku za jumapili, kuanzia saa nne hadi saa kumi na moja jioni uone wakristo wanavyotafunana.
Afadhari hao wanaongelea, uimarishaji wa ndoa zao.
Acha kueneza chuki mfuasi wa upinde w mvua. Je wewe ? Unayesapot upinde wa mvua dini yako inasambaa kwa njia ganiNaona hamna aliejibu swali lako Kwa mapana;
Kazi kubwa ya channel za dini ni kuieneza dini husika...