Channel za kiislam kuzungumzia zaidi mambo ya ndoa

Udini umetoka wapi , onyesha comment yangu jata moja ya uongo.

Kwani hakuna ahadi ya mabikra peponi ?

Au ukisema kitu kama kilivyo ndio udini
Hiki ni nini?? Na baada ya kukuhoji ukaenda kuifuta haraka. Heshimu imani za wengine mkuu.
Randy orton

"Sasa kama moja ya ahadi kwao ni kukutana na mabikra 72 Peponi unategemea wawaze nini wakiwa duniani ?"
 
Kwani mkuu hiyo comment Ina udini?
Kwani hawajaahidiwa hao mabikra?
Mimi hata sielewi kwanini mtu akisema chochote msichokipenda kuhusu dini, hata kama ni ukweli anaitwa mdini.
 
Wewe mbona unaliwa na ndo babaako alikuwa ivyo mbona hatukusemi?
 
Hiki ni nini?? Na baada ya kukuhoji ukaenda kuifuta haraka. Heshimu imani za wengine mkuu.
Randy orton

"Sasa kama moja ya ahadi kwao ni kukutana na mabikra 72 Peponi unategemea wawaze nini wakiwa duniani ?"
The concept of 72 hoors is mentioned in Hadith - the sayings of Muhammad. According to Hadith, the messenger of God said, "Every one that God admits into the paradise will be married to 72 houries (wives) who are beautiful and virgins, with whom they can have eternal physical satisfaction ".
 
Hiki ni nini?? Na baada ya kukuhoji ukaenda kuifuta haraka. Heshimu imani za wengine mkuu.
Randy orton

"Sasa kama moja ya ahadi kwao ni kukutana na mabikra 72 Peponi unategemea wawaze nini wakiwa duniani ?"
sijafuta kitu, angalia vizuri.

Hiyo ahadi ya mabikra ipo au haipo ?

Ni wapi nimesema uongo?
 
Kwani mkuu hiyo comment Ina udini?
Kwani hawajaahidiwa hao mabikra?
Mimi hata sielewi kwanini mtu akisema chochote msichokipenda kuhusu dini, hata kama ni ukweli anaitwa mdini.
Huyu mkuu ana matatizo.

Namsubiria aseme kuwa hakuna ahadi ya mabikra
 
Ndoa za waisilamu ni rahisi kuziishi na kuziacha pia ni rahisi. Sishangai mtu kuoa wanawake wengi kwa urahisi kwani atawatariki kwa urahisi yaani hizi ndoa zao ni mzigo kwa wanawake
 
Ila wanaume wa kiisilamu wamepewa mema peponi na duniani. Yaani Mtui aoe wanawake wanne duniani na akienda peponi atapewa mabikira 72 huoni wanaume walivyo hakuwa. Ila sijaelewa hizo dushe zitakua na ukubwa gani. Dini zingine Mungu atusaidie
 
Mkuu fanya uvute jiko na kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu hali ya kipato itakuja....Usisahau maombi na dua,,,,
 
Ila wanaume wa kiisilamu wamepewa mema peponi na duniani. Yaani Mtui aoe wanawake wanne duniani na akienda peponi atapewa mabikira 72 huoni wanaume walivyo hakuwa. Ila sijaelewa hizo dushe zitakua na ukubwa gani. Dini zingine Mungu atusaidie
Yaani haya unayorudia rudia kuposti, unataka ujibiweje, kuwa wakristu hamfanyi ngono. Wakati madanguro yote Dar, wanamilikiwa na Wakristo, madada poa wengi mjini ni wakristo

Wanaoliwa wengi hasa siku za jumapili, ni wakristo, wengi huliwa asbuhi alafu, wanaenda makanisa, na wengine huliwa baada ya kutoka makanisani.

Bora hao Waislamu wanaimani kuwa wameahidiwa, ila wakristo hufanya haya bure.
Swala kuoa weke wengi, au kuachana, hakuna ambacho hakifanywi na mkristo,

Kuoa mke mmoja au Kuto achana, limebaki kwenye maandishi tu, Watu wanamiliki wake zaidi ya mmoja Wakristo, kuachana kila siku tunaona Wakristo wakiachana, hivyo mkristo kwa hili hana cha kujivunia.
 
Ila wanaume wa kiisilamu wamepewa mema peponi na duniani. Yaani Mtui aoe wanawake wanne duniani na akienda peponi atapewa mabikira 72 huoni wanaume walivyo hakuwa. Ila sijaelewa hizo dushe zitakua na ukubwa gani. Dini zingine Mungu atusaidie

Dini zingine? Halafu hapo hapo unasema Mungu atusaidie 😁
 
Ni kweli kabisa option walio iamua ya kueneza dini Ila njia nzuri ni kujiinua kiuchumi ukidominate uchumi ni rahisi sana kuinfluence watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…