Channel za kiislam kuzungumzia zaidi mambo ya ndoa

Kupeana mapenzi moto moto kwa wanandoa (mawarda) na kuoa wake zaidi ya mmoja, kuna wengine suala la kuoa limekuwa changamoto kutokana na changamoto za kiuchumi tulizonazo
Tumetoka kusuluhisha ugomvi wa ndoa kisa mwanaume amekuta ujumbe huu kwenye simu ya mkewe
Pamechimbika
 
Umechambua vizuri kabisa, wewe utakuwa ni mbobezi ama mwanazuoni.
 
Uislam Ni umezungukwa na ndoa has mashine. Duniani mpaka akhera
 
Punguza makasiriko..tunaomba hizo takwimu..vinginevyo ni uzushi.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Punguza makasiriko..tunaomba hizo takwimu..vinginevyo ni uzushi.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Unaomba hizo takwimu, twakwimu ndiyo hizo, ukitaka kujiridhisha tembelea madanguro, na gesti, utagundua Wakristo wengi ndiyo wamiliki wa madanguro.

Wakristo, kutoa achana na kuwa na mke mmoja limebaki kwenye bibilia tu, lakini wakristo wanaachana, na wana wake wengi, hii utakata hadharani ila moyoni utakubaliana na mimi.
 
N
Sasa kama moja ya ahadi kwao ni kukutana na mabikra 72 Peponi unategemea wawaze nini wakiwa duniani ?
Nibora nyie mnayotoa magovi elfu 79 kama mahari ndiomaana mnayafuga sisi uislam unatufundisha ustarabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…