Chanting:- Moja ya funguo za kufungua ulimwengu wa roho (Mtaifahamu kweli na hiyo kweli itawaweka huru)

Chanting:- Moja ya funguo za kufungua ulimwengu wa roho (Mtaifahamu kweli na hiyo kweli itawaweka huru)

Huyu si ndo yule anaye dai kuwa yeye hutembelewa na malaika kila siku? Basi waombe hao malaika wakusaidie uwe na logic aisee huna kabisa hiki kitu.
 
.....natakafedha...natakafedha...natakafedha...natakafedha...natakafedha...
Ninatakiwa ni chant maneno mara ngapi au kwa muda gani, ndipo nione matokeo?? Usiku kucha??
 
Nawasalimu wote.

Mwenye ufahamu afahamu, na afunguliwe kuzijua siri za ufalme wa roho.

Leo nitaongelea njia moja wapo ya kuweza kufungua mlango na kuingia katika ulimwengu wa roho. Njia hiyo ni chanting.

UTANGULIZI
Kwanza kabisa chanting ni nini!? Nikutamka au kuimba maneno kwa kurudia rudia. Inaweza ukaimba kwa sauti au ukaimba kimoyo moyo.

Mfano:- Haleluya, Haleluya, Haleluya, Haleluya, Haleluya

Au:- Nataka gari, Nataka gari, Nataka gari, Nataka gari

Wengine huita majina kulingana na imani yao.

Uimbaji au kuongea kukirudiwa mara nyingi, tayari sauti itaanza kusikika ndani ya ubongo na kuulazimisha ubongo ukusikilize. Ubongo unapokubali kukusikiliza tayari nafsi yako itaanza kusikiliza kutoka kwenye ulimwengu wa roho.

KWANINI CHATING!?
Ndani ya akili ya mwanadamu au katika memory ya mwanadamu vimejaa vitu vinavyotoka katika ulimwengu wa mwili. Milango ya fahamu inaingiza kila sekunde taarifa zinazotoka katika ulimwengu wa mwili kwenye memory ya mwanadamu.

Sasa basi nafsi inakuwa inaujuzi mkubwa wa taarifa zinazotoka katika ulimwengu wa mwili. Siri za ulimwengu wa roho zinakuwa hazijulikani au zinajulikana kwa kiasi tu.

Chanting ni njia moja wapo ya Spiritual Induction. Unajilazimisha kuingia katika ulimwengu wa roho kwa kuulazimisha ubogo ufunge milango ya fahamu kwa muda. Utakapo anza kutamka maneno kwa kurudia rudia "You fake the brain" na baadae ubongo unakubaliana na hicho unachokifanya.

Unapofanya fanya kwa hisia (Imani) ndipo utaingia katika ulimwengu wa roho.

JE MUDA GANI WA KUFANYA NA WAPI
Chanting inafanyika popote. Ndani ya kanisa, ndani ya msikiti au popote.
Walokole wao huwa wanafanya chanting kwa kunena kwa lugha. Imani zingine wanafanya kwa namna ya wengine wanatamka "ohm" nk.

Wachawi nao wapo na namna ya kutamka.
Waebrania nao walikuwa na namna ya kutamka. Namna hii huwa naipenda maana ni rahisi "ABRACADABRA" Maana yake "Ninaumba kwa jinsi ninavyotamka" I create as I speak.

FAIDA ZA CHANTING
Faida kubwa kabisa ni kuingia katika ulimwengu wa roho by induction.

Kuondoa stress na kuwa na furaha.
Kuongeza uwezo wa kukumbuka.
Kujua siri za ulimwengu wa roho na kuwa open minded.

Na mambo mengi yafananayo na hayo.

MWENYE UFAHAMU AFAHAMU HAYA.
Ukiisha ingia Ulimwengu wa Roho ni Faiga gani utakayopata?...nilidhani unatifundisha Chanting ili kupata mahitaji yetu!
 
Mb
Ukiisha ingia Ulimwengu wa Roho ni Faiga gani utakayopata?...nilidhani unatifundisha Chanting ili kupata mahitaji yetu!
Mbona sjimskia mshana jr.akisema neno????Seema neno mkuu nass tupate kupona
 
(106) Jesus said, "When you make the two one, you will become the sons of man, and
when you say, 'Mountain, move away,' it will move away."
Wana masikio lakini hawatasikia na wana macho ya kuona lakini hawataona haya maandishi, watasoma lakini hawataelewa.

Hii inahitaji hekima ya mbingu kuelewa sio elimu zetu hizi za UDSM na Havard unarudi mtaani kujitutumua.

Hicho alichosema Yesu ni Hakika (real). Utahamisha milima yote. Sio Kilimanjaro wala Oldoinyo Lengai, hapana. Ni milima yako, usianze kuniuliza ni ipi wakati mwenyewe waijua.
 
watu washachant sana maishani...kitunguu,chumvi,nyanya moja na mchicha x 10 ,.....kitunguu chumvi....x 10 hadi unafika dukani na kununua hivyo vitu alivyokutuma mama..
Kiberiti sh.20 na chenchi inarudi x30 na hamna miujiza iliotokea
 
KWANINI CHATING!?
Ndani ya akili ya mwanadamu au katika memory ya mwanadamu vimejaa vitu vinavyotoka katika ulimwengu wa mwili. Milango ya fahamu inaingiza kila sekunde taarifa zinaz³otoka katika ulimwengu wa mwili kwenye memory ya mwanadamu.
Wagalatia 5.17
Kwa sababu mwili hutamani ukishindana na Roho, na Roho kushindana na mwili; kwa maana hizi zimepingana, hata hamwezi kufanya mnayotaka.

Uchaguzi ni wako ndugu msomaji. Unapanda kwa mwili au kwa roho? Make the two one, iwe Roho au mwili.... uchaguzi ni wako.
 
Back
Top Bottom