Chanting:- Moja ya funguo za kufungua ulimwengu wa roho (Mtaifahamu kweli na hiyo kweli itawaweka huru)

Huyu si ndo yule anaye dai kuwa yeye hutembelewa na malaika kila siku? Basi waombe hao malaika wakusaidie uwe na logic aisee huna kabisa hiki kitu.
 
.....natakafedha...natakafedha...natakafedha...natakafedha...natakafedha...
Ninatakiwa ni chant maneno mara ngapi au kwa muda gani, ndipo nione matokeo?? Usiku kucha??
 
Ukiisha ingia Ulimwengu wa Roho ni Faiga gani utakayopata?...nilidhani unatifundisha Chanting ili kupata mahitaji yetu!
 
Mb
Ukiisha ingia Ulimwengu wa Roho ni Faiga gani utakayopata?...nilidhani unatifundisha Chanting ili kupata mahitaji yetu!
Mbona sjimskia mshana jr.akisema neno????Seema neno mkuu nass tupate kupona
 
(106) Jesus said, "When you make the two one, you will become the sons of man, and
when you say, 'Mountain, move away,' it will move away."
Wana masikio lakini hawatasikia na wana macho ya kuona lakini hawataona haya maandishi, watasoma lakini hawataelewa.

Hii inahitaji hekima ya mbingu kuelewa sio elimu zetu hizi za UDSM na Havard unarudi mtaani kujitutumua.

Hicho alichosema Yesu ni Hakika (real). Utahamisha milima yote. Sio Kilimanjaro wala Oldoinyo Lengai, hapana. Ni milima yako, usianze kuniuliza ni ipi wakati mwenyewe waijua.
 
watu washachant sana maishani...kitunguu,chumvi,nyanya moja na mchicha x 10 ,.....kitunguu chumvi....x 10 hadi unafika dukani na kununua hivyo vitu alivyokutuma mama..
Kiberiti sh.20 na chenchi inarudi x30 na hamna miujiza iliotokea
 
KWANINI CHATING!?
Ndani ya akili ya mwanadamu au katika memory ya mwanadamu vimejaa vitu vinavyotoka katika ulimwengu wa mwili. Milango ya fahamu inaingiza kila sekunde taarifa zinaz³otoka katika ulimwengu wa mwili kwenye memory ya mwanadamu.
Wagalatia 5.17
Kwa sababu mwili hutamani ukishindana na Roho, na Roho kushindana na mwili; kwa maana hizi zimepingana, hata hamwezi kufanya mnayotaka.

Uchaguzi ni wako ndugu msomaji. Unapanda kwa mwili au kwa roho? Make the two one, iwe Roho au mwili.... uchaguzi ni wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…