Tetesi: Chanzo cha ajali ya ndege Marekani

Kishimbe wa Kishimbe

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
5,566
Reaction score
5,477
Wakati upelelezi ukiwa bado unaendelea na shutuma za nani kasababisha ajali ya kugongana kwa chopa ya jeshi na ndege ya kiraia Marekani zikiendelea kurushwa na wadau mbalimbali, nimekutana na Habari nyingine mpyampya!

Kwamba aliyekuwa anaendesha chopa ya jeshi alikuwa ni askari mmoja 'transgender' Ambaye alikuwa miongoni mwa wanajeshi wanaoenda kustaafishwa kutokana na kuwa kinyume na matakwa ya jeshi la Marekani chini ya Trump inayotambua jinsia mbili tu!

View: https://x.com/ProjectConstitu/status/1885270354253275264

SOMA PIA:

Hawa wazembe , ngoja vibaraka wao waje hapa .
... inasemekana muhusika alifanya makusudi ikiwa ni kama kutaka kutuma ujumbe Fulani kwa serikali ya Trump! ... DUNIA SI SALAMA AISEE! HEBU VUTA PICHA MFANO HUYO MUHUSIKA ANA'CONTROL' SILAHA ZA KIATOMIKI!
 
Ule uwanja wa ndege wa Reagan umekaa pabaya sana.

Picha linaanza kiwanja kidogo sana kina lane moja tu, kidogo kama KIA.

Halafu kiwanja kiko katikati ya mji hapa White House hapa Congress, hapa Pentagon, yani mtu akiamua kuleta maafa wakikosea kidogo tu kumuwahi anaangusha chuma White House, Pentagon au Congress.
 
... ufumbuzi wa kudumu ni kujenga uwanja mwingine mkubwa na kupunguza matumizi ya uwanja husika!
 
Uwanja mwingine mkubwa ulishajengwa siku nyingi upo Dulles International Airport.

Ila huu watu wanaupenda kwa sababu upo Katikati ya mji.
... hatari sana, wakati sisi tunalia na jam za mikweche yetu hapa Dar, wenzetu wanahangaika na jam za ndege kwenye Airports!
... halafu wanasiasa wao wajinga wanajaribu kuwadanganya raia wao kuwa tu'peanuts' wanatoleta Africa kama misaada ndio adui wa Maendeleo yao, wakati wanatuibia vya kutosha tu ili kuendesha mambo yao mengi yenye 'ASTRONOMICAL COSTS'!
 
Wakaangukia kwenye mto ambao umeganda mwa baridi yaani dah unaungua kuanzia juu unashushiwa kwenye barafu kifo kibaya sana
 
Ule uwanja wa ndege wa Reagan umekaa pabaya sana.

Picha linaanza kiwanja kidogo sana kina lane moja tu, kidogo kama KIA.

Halafu kiwanja kiko katikati ya mji hapa White House hapa Congress, hapa Pentagon, yani mtu akiamua kuleta maafa wakikosea kidogo tu kumuwahi anaangusha chuma White House, Pentagon au Congress.
Ile ajali ya juzi kati nayo tatizo n nn? Hapo hapo USA...Kiufupi huu ndiyo msimu wao ajali nyingi sana .

Usafiri wa Anga ukileta uzembe kidogo umekwisha.
 
Ule uwanja wa ndege wa Reagan umekaa pabaya sana.

Picha linaanza kiwanja kidogo sana kina lane moja tu, kidogo kama KIA.

Halafu kiwanja kiko katikati ya mji hapa White House hapa Congress, hapa Pentagon, yani mtu akiamua kuleta maafa wakikosea kidogo tu kumuwahi anaangusha chuma White House, Pentagon au Congress.
Pentagon na white house zipo eneo eneo Moja?
 
Back
Top Bottom