Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 5,566
- 5,477
Wakati upelelezi ukiwa bado unaendelea na shutuma za nani kasababisha ajali ya kugongana kwa chopa ya jeshi na ndege ya kiraia Marekani zikiendelea kurushwa na wadau mbalimbali, nimekutana na Habari nyingine mpyampya!
Kwamba aliyekuwa anaendesha chopa ya jeshi alikuwa ni askari mmoja 'transgender' Ambaye alikuwa miongoni mwa wanajeshi wanaoenda kustaafishwa kutokana na kuwa kinyume na matakwa ya jeshi la Marekani chini ya Trump inayotambua jinsia mbili tu!
View: https://x.com/ProjectConstitu/status/1885270354253275264
SOMA PIA:
www.jamiiforums.com
www.jamiiforums.com
www.jamiiforums.com
Kwamba aliyekuwa anaendesha chopa ya jeshi alikuwa ni askari mmoja 'transgender' Ambaye alikuwa miongoni mwa wanajeshi wanaoenda kustaafishwa kutokana na kuwa kinyume na matakwa ya jeshi la Marekani chini ya Trump inayotambua jinsia mbili tu!
View: https://x.com/ProjectConstitu/status/1885270354253275264
SOMA PIA:
Trump anasema ajali ya ndege iliyotokea Washington ni kwasababu ya sera za kuruhusu watu wa asili ya mataifa kuruhusiwa kuongoza ndege USA.
Trump amelaumu uongozi wa Obama na Biden kuruhusu watu kuja kufanya kazi ambazo zinahitaji ma-genious na hivyo kuruhusu hata watu wenye ulemavu wa akili kufanya kazi maalumu kwa ma-genious. Trump ameyasema hayo alipokuwa anazungumza na waandishi wa habari kuhusu ajali hiyo. Mambo yanaendelea...
Trump atupiwa lawama ajali ya ndege Marekani
Lawam nyingi zimeelekezwa kwa Donald Trump Rais wa Marekani kufuatia ajali mbaya ya ndege iliyotokea jimbo la Virginia ambapo ndege ya abiria imegongana na helicopter ya jeshi na kuua watu zaidi 60. Hata hivyo Trump mwenyewe amekwepa uwajibikaji na kumtupia lawama mtangulizi wake Biden. Watu...
Marekani: Ndege iliobeba raia 64 imegongana hewani na helicopter ya kijeshi na kusababisha vifo kadhaa
Zaidi ya watu kumi na wanne waliuawa baada ya ndege ya mikoa ya American Airlines yenye abiria 64 kugongana na helikopta ya kijeshi ya Black Hawk dakika chache kabla ya ndege hiyo kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ronald Reagan wa Washington D.C. mnamo jioni ya Jumatano, kama...