Chanzo cha B. Dozen kuhama Clouds

Kennedy kapikwa na Dozen mwenyewe na bado yupo shuleni anajifunza.

WaTz hebu tujifunze kutafakari kwa mapana zaidi kabla hatujaongea/kuandika.
 
Moderators mnazingua Sana kuichanganya maandiko yangu na machapisho mengine, Mimi naahidi watu kuwaandikia mwendelezo nyinyi mnazichanganya kama Comments mnataka nionekane Muongo sio, mnatuharibia Kwa wanaofuatilia, it's mseme tusiwe tunachapisha kitu ambacho ni muendelezo
 
Kennedy noma..Twangala kaenda kwa bae wake..Lulu ajipange
Dogo hebu jfunze busara kumbuka huyo ana familia yake, sasa unahisi wanajckiaje wanapockia maneno km yako?. Alafu ww ndo kesho upo Church /mosque siti ya mbele kutaka bless za jah kisa mambo yako hayaend vizur, kumbe kuna upuuzi huu uliongea. Be smart!
 
Huyo Dozen pia ngeli haiwezi,anaungaunga tu..Ngeli ni Sam Misago..Meena pia yupo vizuri..

Hivi Babra anapohost PB akija labda Tundu Lisu yeye ndo atakua muuliza maswali mkuu?
Ndo inavotakiwa mkuu..yaani guest akienda Leo tena muuliza maswali mkuu inatakiwa awe Dahuu na si Mussa Hussein, Jahazi pia ni George Bantu Si Gardner,hawa ma'co-host kazi yao ni kuchombeza2 kiaina japo simaanishi haipaswi waulize maswali Noo.
 
Namuona Pia Cza anavoandaliwa kuchukua nafasi ya Ali Masoud Nyomwa (KP)
 
Sio jina tu

Maudhui mengi ya radio za fm ni ya kuiga toka kwenye radio za kimarekani. Tofauti ni lugha tu
Naam nikweli... Hata kile kipande cha hot 3 ambacho kipo kwenye xxl walikikwapua channel 0 miaka ya 2006 ...channel 0 walikuwa na session yao inafanyika SAA 10 mpaka 12 jioni yaani kipindi chao kilikuwa kama Friday night cha eastafrica..nilikuwa kiko hot Sana wakati huo ...kilikuwa kina hicho kipande cha hot 3
 
Hicho kipindi kilikua moto enzi ya dj steve B
 
Naona post hii imejikita kwenye majina au wasifu wa mtu...nafikiri ungesaidia kama ungeonyesha soko la la kipindi likoje na litaendelea vipi licha ya mabadiliko hayo..Hasa ukizingatia mabadiliko ya media.. Wengi wakihamia digital marketing.....Jinsi ambavyo Clouds , EFM au yeyote anavyomudu kwenda na wakati na kutimiza malengo ya makampuni.....Kwa makampuni ya biashara ....sasa hivi wanajifikiria sana faida ya kutumia traditional media Radio, TV advertising space na digital.. Hawa akina Bdozen ni matokeo ya peak ya advertising kwenye miaka ya 2000 - 2016/17

Kuendelea na format za Radio advert, hizi zimeanza pitwa na wakati...ndio maana influencer wana soko zaidi..

Yeyote anayekuja atambue soko liko kwa influencer , hata radio listening ipo chini si kivile....Radio kwa sasa siyo main influencer....Music utaendelea kuwa na impact , swali ni kuwa utaufanya music kwa kupitia channel ipi na bado kufikia lengo la revenue kwa advertiser na media houses...
 
Halafu clouds tv imebadilika sana nahisi kuna mkono wa nchakali maana mwanzoni ilikuwa haina vipindi sana wala mvuto kama saa hii
Mwanzoni ni kama waliitelekeza tu. Ilikiwepo kuwepo tu ina hang hang. Kuna wakati mpaka unajiuliza wameianzisha ili iweje? Ila sasa hivi wanakuja kuja kimtindo
 
Abubakar alikuwa mtangazaji mzuri sana ila sio kwa level ya show za mchana

Navigator anabaki kuwa navigator the KING OF AFTERNOON SHOW.
Wengi wanalifahamu hilo ila hata samata asingepata timu inayofuatiliwa duniani angebaki na kipaji chake tu na dunia isingemjua?

Wengi wana vipaji, tatizo ni platform. Wasiwasi wa wengi ameenda kwenye platform ambayo hailingani na kipaji chake. Ili redio ipenye kwenye jamii hainabudi kuwa na vipindi vingi vyenye ubora.
 
Mwanzoni ni kama waliitelekeza tu. Ilikiwepo kuwepo tu ina hang hang. Kuna wakati mpaka unajiuliza wameianzisha ili iweje? Ila sasa hivi wanakuja kuja kimtindo
Kweli kwa sasa wamekuwa serious hadi inaendana na brand ya CMG
 
Sidhani kama Kuna hoja yenye mashiko bad hauna tofaut na wanaosema kaondoka kwasababu kamsifia almasi... Wote mpo kwenye kuhisi tu
 
Hivi mshasikiliza vipindi vya Choice Fm miaka mitatu nyuma wale jamaa walikuwa na watangazaji bomba unakuta host ni mmoja for about 2-3 hours lakini hakuchoshi baadaye Clouds wakaharibi nafkiri mambo ya kibiashara labda.
 
Mtu kamfata bebeh ake hakna kingne, chezea mshedede weyeeeeeeh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…