Chanzo cha B. Dozen kuhama Clouds

Chanzo cha B. Dozen kuhama Clouds

Nchakali baada ya kutoka SCANAD ndio karudi kukisimamia
Halafu clouds tv imebadilika sana nahisi kuna mkono wa nchakali maana mwanzoni ilikuwa haina vipindi sana wala mvuto kama saa hii
 
Hizi zote ni story tu,bottom line,kijana ametafuta "greener pasture"
Penda kazi yako,usipende kampuni
 
Siyo mbYa ni mawazo yako atuwez kupinga umefikir ulichowaza na ukaamua kutujuza ila maisha ni safari iliyo na mwisho kijanaa hivyo [emoji4][emoji4] sizani kama hoja yako Ina mashiko Sana
 
Sijui wengine huwa mnaangalia vipi uwezo wa watangazaji.

Iko hivi kwa show za mchana Tanzania yote hakuna kama Twangala.

Hao kina crispin ni wapiga kelele tu hawajui kitu.

Mtu aliyekuwa anamuweza Dozen kwa show za mchana alikuwa Kidbway na mwamba mmoja nimemsahau wa RFA miaka hiyo now days namuona yupo na online radio.
Umemsahau Abubakar Sadick
 
Back
Top Bottom