Chanzo cha Dunia, Uhai na Ulimwengu ni nini?

Chanzo cha Dunia, Uhai na Ulimwengu ni nini?

Brojust

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
349
Reaction score
1,024
Swali: Ukitoa principles zote za kisayansi unazozijua na usizojijua na Ukitoa imani zote za Dini zote unazozijua na usizozijua Je, Chanzo cha Dunia, Uhai na Ulimwengu ni nini?

NB; Uzi huu utawekwa kwenye record za Dunia kwamba ndio uzi pekee uliotaja chanzo cha Dunia, Uhai na ulimwengu bila kutaja principle zozote za Kisayansi au Imani (Dini)

Nawasilisha.
 
Swali: Ukitoa princliple zote za kisayansi unazozijua na usizojijua na Ukitoa imani zote za Dini zote unazozijua na usizozijua Je, Chanzo cha Dunia, Uhai na Ulimwengu ni nini ?

NB; Uzi huu utawekwa kwenye record za Dunia kwamba ndio uzi pekee uliotaja chanzo cha Dunia, Uhai na ulimwengu bila kutaja principle zozote za Kisayansi au Imani (Dini)

Nawasilisha.
Hakuna chanzo cha dunia
 
Nami naongezea. Materials zilizotumika kuunda haya mambo tuyaonayo na tusio yaona yalitoka wapi?

Usilete story za kwamba ilitamkwa na ikawa. (Basi tuseme ilitamkwa ikawa)

Haya huyo mtamkaji yeye alitoka wapi na nini kilitumika kumuumba?
 
Kuna mama anaitwa Ashayana Deane amelitolea ufafanuzi mkubwa sana hili swali na mengine mengi yasiyoelezeka kwa akili ya kibinadamu..
Naendelea kujifunza kwake nimesubscribe kwenye uzi ntakuja kujibu swali hata baada ya miezi.
 
Swali: Ukitoa princliple zote za kisayansi unazozijua na usizojijua na Ukitoa imani zote za Dini zote unazozijua na usizozijua Je, Chanzo cha Dunia, Uhai na Ulimwengu ni nini ?

NB; Uzi huu utawekwa kwenye record za Dunia kwamba ndio uzi pekee uliotaja chanzo cha Dunia, Uhai na ulimwengu bila kutaja principle zozote za Kisayansi au Imani (Dini)

Nawasilisha.
Mimi napita tu
 
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na chanzo, Hata chanzo cha kila kitu lazima kiwe na chanzo chake kingine.

Pasiwepo kitu chochote kile kilicho jitokeza chenyewe pasipo chanzo, Maana kitazua maswali ya kiliwezaje kuwepo pasipo chanzo.

Na kama si lazima kwamba kila kitu kilichopo kina chanzo, Hata Ulimwengu na Viumbe vyote havina na havihitaji kuwa na chanzo.
 
akili yangu ndo iliumba dunia macho yangu yanaiona dunia mikono yangu inaweza kuishika dunia miguu yangu inaikanyaga kwa faida ya uumbaji wa akilli yangu.

Bila akili zetu uumbaji hakuna.
 
Labda tujadili nadharia sasa..Kila mtu aseme anavyofikiri japo without proof

Ngoja nijarb kwa hii sasa.
1." Maisha si kitu halisi, wote tupo ndotoni na siku moja tutaamka"

2.Japo naweza nisijue imetoka wapi, lkn nguvu ipo na hiyo nguvu inapita ukomo wa nguvu za binadamu, nguvu hiyo ndiyo chanzo cha Maisha.
 
Back
Top Bottom