Chanzo cha Dunia, Uhai na Ulimwengu ni nini?

Chanzo cha Dunia, Uhai na Ulimwengu ni nini?

Jibu ni hivi ulivyovitoa apa

"Ukitoa princliple zote za kisayansi unazozijua na usizojijua na Ukitoa imani zote za Dini"
 
Swali: Ukitoa princliple zote za kisayansi unazozijua na usizojijua na Ukitoa imani zote za Dini zote unazozijua na usizozijua Je, Chanzo cha Dunia, Uhai na Ulimwengu ni nini ?

NB; Uzi huu utawekwa kwenye record za Dunia kwamba ndio uzi pekee uliotaja chanzo cha Dunia, Uhai na ulimwengu bila kutaja principle zozote za Kisayansi au Imani (Dini)

Nawasilisha.
Ndiyo nini hiki "princliple"?
 
Hao wadudu huwa wanakuwepo tumboniiii ila wanakuwa in form of cysts kwa
Wewe chanzo chako mpaka ulipo kinajulikana, wazazi wako na asili yako ukifa unazikwa migombani ...

Kila kitu kina chanzo ndugu yangu..
Kila kitu kina chanzo na hiko chanzo kina chanzo bila mwisho utabaki kutafuta vyanzo vya vyanzo mpka uchanganyikiwe ,wakati kila kitu kipo kwenye cycle tu hakuna mwanzo wala mwisho.
 
Hicho chanzo cha binadamu, chanzo chake ni nini?
Napenda mijadala ya hivi na nondo ninazo za kutosha,ila tukipeana elimu hapa jf,kuna vivuruga wataharibu mjadala,..weekend moja tuunde group chat PM watu kumi tu,hadi mtu atoke damu,.timu yenu watu watano na kiranja wenu,nami ni add watu watano...najua hautakua mjadala wa Nani Bingwa, ila tutajua kipi ni kipi...
 
Mtaniweka huko pm mzee
 
Kila kitu kina chanzo na hiko chanzo kina chanzo bila mwisho utabaki kutafuta vyanzo vya vyanzo mpka uchanganyikiwe ,wakati kila kitu kipo kwenye cycle tu hakuna mwanzo wala mwisho.
Ndo ivoo mkuu ni kama duara ambavo huwezi kujua chanzo chake ni wapi kama halikuwekwa alama
 
Kama ilivyo kwa magari na vinginevyo.... vimetengenezwa.Basi hata dunia hii mmiliki yupo.
Wanasema kuna tofauti kati ya kutengeneza na kuumba

Kutengeneza ni kuchukua vitu vilivyopo na ukaviunganisha kupata muonekano mpya
Mfano ukichukua maji+mchaichai+sukari halafu ukachemsha utatengeneza CHAI

Kuumba ni kufanya kitu ambacho hakipo halafu kiwepo
Kuumba hakutumii material yoyote ile

So magari yametengenezwa kwa material zilizopo tayari
 
Back
Top Bottom