Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Je ni lazima kila kitu kilichopo duniani kina chanzo na mwisho?Kama hakuna chanzo cha dunia, kwanini kila kitu kilichopo ulimwenguni na dunia huwa kina chanzo na mwisho ? Je Chanzo cha Dunia, uhai na ulimwengu ni nini ?
Sex mkuuu ndio chanzoW
Atakuuliza chanzo cha viumbe hai ni nn
Kwa jinsi nilivofatilia kivyangu vyangu.Swali: Ukitoa princliple zote za kisayansi unazozijua na usizojijua na Ukitoa imani zote za Dini zote unazozijua na usizozijua Je, Chanzo cha Dunia, Uhai na Ulimwengu ni nini ?
NB; Uzi huu utawekwa kwenye record za Dunia kwamba ndio uzi pekee uliotaja chanzo cha Dunia, Uhai na ulimwengu bila kutaja principle zozote za Kisayansi au Imani (Dini)
Nawasilisha.
Kwa hiyo utakuwa upande gani ? Dunia, uhai na ulimwengu una chanzo au hauna chanzo ?Je ni lazima kila kitu kilichopo duniani kina chanzo na mwisho?
Kama ni hivyo,
Chanzo cha mawe ni nini? Na mwisho wake ni nini?
Chanzo cha Ardhi ni nini? Na mwisho wake ni nini?
Huyo kiumbe wa kwanza alitokea wapi kwasabu lazima hakutokana na sexSex mkuuu ndio chanzo
Tunakusubiria mkuu, Ahsante sanaKuna mama anaitwa Ashayana Deane amelitolea ufafanuzi mkubwa sana hili swali na mengine mengi yasiyoelezeka kwa akili ya kibinadamu..
Naendelea kujifunza kwake nimesubscribe kwenye uzi ntakuja kujibu swali hata baada ya miezi.
Hapo umezungumzia vitu vitatu tofauti na kila kimoja kinajitegemea tukianza na Dunia na Ulimwengu, Dunia km dunia bila kutumia chanzo chochote ni Dunia na chanzo halisi cha Ulimwengu ni hakuna wala chanzo cha Uhai hakunaJe, Chanzo cha Dunia, Uhai na Ulimwengu ni nini ?
Hauna chanzo.Kwa hiyo utakuwa upande gani ? Dunia, uhai na ulimwengu una chanzo au hauna chanzo ?
Hicho chanzo cha binadamu, chanzo chake ni nini?Kwani kitabu cha 12th Planet nimesoma peke yangu??
Maana kitabu hiki ndio kina kila kitu unachotaka kujua kuhusu dunia ilipotokea,chanzo cha binadamu, Mungu,miungu,Civilization..
Mtu akifa akaoza anatoa madudu tumboni ,wewe unafikiri yanatokea wapi?Huyo kiumbe wa kwanza alitokea wapi kwasabu lazima hakutokana na sex
Kuna wajinga hawajui kusoma kiswahili humu wanatujazia ma-theory ya big bang amesema usitumie kitabu chochotebila kutaja principle zozote za Kisayansi au Imani (Dini)
Acha ulevi , jibu swali.!Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na chanzo, Hata chanzo cha kila kitu lazima kiwe na chanzo chake kingine.
Pasiwepo kitu chochote kile kilicho jitokeza chenyewe pasipo chanzo, Maana kitazua maswali ya kiliwezaje kuwepo pasipo chanzo.
Na kama si lazima kwamba kila kitu kilichopo kina chanzo, Hata Ulimwengu na Viumbe vyote havina na havihitaji kuwa na chanzo.
Hao wadudu huwa wanakuwepo tumboniiii ila wanakuwa in form of cysts kwamba bado hawajaanguliwaMtu akifa akaoza anatoa madudu tumboni ,wewe unafikiri yanatokea wapi?
Wewe chanzo chako mpaka ulipo kinajulikana, wazazi wako na asili yako ukifa unazikwa migombani ...Kwa nini unafikiri kuwa lazima chanzo?
Hakuna chanzo kila kitu kipo kwenye mzunguko tu kukamilisha mwanzo wa kitu kingine kipya katika physical formAcha ulevi , jibu swali.!