Chanzo cha El Clasico

Chanzo cha El Clasico

Siongezi wala sipunguzi ni kweli tulifungwa kwa hujuma ila hata wao walishakula kichapo cha haja

#1926 (spanish cup)
Real Madrid 1-15 BARCELONA
#1955 (friendly match)
BARCELONA 16-0 Real Madrid

Reasults uliyoandika doesn't exist labda umeweka kujifurahisha. Biggest win of Barcelona against Real Madrid ni 6 - 1. Kweli sio goli chache, lakini usiongeze chumvi kujifurasha or otherwise weka link ulikozitoa data zako.
 
PAGAN bila kunipinga husikii furaha

Nimekwambia weka link unaweka editing Video kutoka Youtube. Ulisema Barcelona ilishinda goli 15 mwaka 1926, sasa niambie miaka hiyo kulikuwa na kamera inayochukua Video ya rangi?
Kwa taarifa yako tu mwaka 1955 majina ya wachezaji hayakuwa yakiwekwa kwenye jezi. Na E'too hakuchezea Barcelona mwaka 1955.
 
Twende kiutaratibu hivi ni kwa nini mkuu unaichukia Barcelona kwani imekufanya nini[emoji101]
 
Twende kiutaratibu hivi ni kwa nini mkuu unaichukia Barcelona kwani imekufanya nini[emoji101]

Twende kiutaratibu hivi kwanini mkuu unapenda kutulisha habari za uongo tumekufanya nini?
 
Twende kiutaratibu hivi kwanini mkuu unapenda kutulisha habari za uongo tumekufanya nini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mimi sina chuki na Madrid sababu washakuwa wateja wangu
 
MSN
 
Attachments

  • 1459591536846.jpg
    1459591536846.jpg
    31.4 KB · Views: 71
Siongezi wala sipunguzi ni kweli tulifungwa kwa hujuma ila hata wao walishakula kichapo cha haja

#1926 (spanish cup)
Real Madrid 1-15 BARCELONA
#1955 (friendly match)
BARCELONA 16-0 Real Madrid

Ukiona matokeo tofauti na haya ujue ni fake

12933165_1192933460731412_6556672653192083733_n.jpg
 
piga mwizi huyoooo....

naona PNC 1 na wenzako mmekimbia...ndio hali yamchezo...

piga huyoo pigaaa...

siku nyingine msilete ibishi kabla ya mechi.

viva R.Madrid viva CR7
 
Back
Top Bottom