ellybululla
Senior Member
- Jan 30, 2013
- 105
- 83
Barcelona piga au wakubebwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siongezi wala sipunguzi ni kweli tulifungwa kwa hujuma ila hata wao walishakula kichapo cha haja
#1926 (spanish cup)
Real Madrid 1-15 BARCELONA
#1955 (friendly match)
BARCELONA 16-0 Real Madrid
Twende kiutaratibu hivi ni kwa nini mkuu unaichukia Barcelona kwani imekufanya nini[emoji101]Nimekwambia weka link unaweka editing Video kutoka Youtube. Ulisema Barcelona ilishinda goli 15 mwaka 1926, sasa niambie miaka hiyo kulikuwa na kamera inayochukua Video ya rangi?
Kwa taarifa yako tu mwaka 1955 majina ya wachezaji hayakuwa yakiwekwa kwenye jezi. Na E'too hakuchezea Barcelona mwaka 1955.
Twende kiutaratibu hivi ni kwa nini mkuu unaichukia Barcelona kwani imekufanya nini[emoji101]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mimi sina chuki na Madrid sababu washakuwa wateja wanguTwende kiutaratibu hivi kwanini mkuu unapenda kutulisha habari za uongo tumekufanya nini?
Siongezi wala sipunguzi ni kweli tulifungwa kwa hujuma ila hata wao walishakula kichapo cha haja
#1926 (spanish cup)
Real Madrid 1-15 BARCELONA
#1955 (friendly match)
BARCELONA 16-0 Real Madrid
bado masaa machache tu tutakimbiana hapaBahati mbaya huwa sibet... ila Jmosi Barca lazima wachezee kichapo cha mbwa mwizi.
Ni vzr kuota inakupa matumain
kwanza kubali kuwa umetoa takwimu za uongoTwende kiutaratibu hivi ni kwa nini mkuu unaichukia Barcelona kwani imekufanya nini[emoji101]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] daima ctoagi takwimu za uongokwanza kubali kuwa umetoa takwimu za uongo