God Fearing Person
JF-Expert Member
- Apr 5, 2020
- 767
- 2,570
Nataka Leo niongee na wazazi Kama mpo.
Sisi katika familia yetu upande wa babu yangu wamefanikiwa wote .
Je, ilikuaje wakafanikiwa familia nzima?
Kwanza Babu yangu alikuwa MTU mwema Sana alijitolea na kusaidia ndugu zake wote hivyo Karma ilimlipa .
Pia Mimi na ndugu zangu sote tumefanikiwa lakini hakuna juhudi inayoweza kuelezewa isipokuwa malipo ya karma tu.
So ukitenda wema lazima huo wema ukurudie kwako na kwa familia yako.
Cc Pascal Mayalla
Msiache kutenda mema wakuu ili mjinasue na vifungo vya umasikini.
Sisi ukisikia MTU anaumwa lazima atibiwe nje ulaya au India.