The-unknown
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 1,228
- 1,447
Stori kama stori nyingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwa mkweli tu..nyie si mlikua mnaroga sana..unadhani sikujui?
Ila Kufanikiwa kwako kwa familia nyingine ni ufukara mtupu. Kwa wengine kununua IST ni mafanikio.., kwa familia zingine huo unachukuliwa ni ufukara wa kutupa.., nasema tu.
Huyo mzee anazingua sana! 😂🙌Kuna rafiki yangu katoka kunihadithia juzi,
Baba yake alikuwa amjali kabisa, ilifikia baba akisikia dogo kafanikiwa mzee huwa anachukia mpaka leo, dogo aliyumba kidogo kiuchumi mwaka 2021 kipindi cha covid19, mzee wake akawa anapita akitangaza kuwa kiko wapi sasaiv amefulia,
Aisee kuna wazee ni nuksi kabisa
Kikubwa nilichoondoka nacho kwenye huu uzi, ni umuhimu wa kuwatendea wengine mema.
Kuna mifano hai pia ya kutendewa ubaya na wale uliowatendea wema.., mifano ni mingi.., angalia JPM anachofanyiwa na watu wake wa awamu ya 6 kwa kumchafua kila kukicha…Kikubwa nilichoondoka nacho kwenye huu uzi, ni umuhimu wa kuwatendea wengine mema.
Bsbu yako alikuwa chama ganiNataka Leo niongee na wazazi Kama mpo.
Sisi katika familia yetu upande wa babu yangu wamefanikiwa wote .
Je, ilikuaje wakafanikiwa familia nzima?
Kwanza Babu yangu alikuwa MTU mwema Sana alijitolea na kusaidia ndugu zake wote hivyo Karma ilimlipa .
Pia Mimi na ndugu zangu sote tumefanikiwa lakini hakuna juhudi inayoweza kuelezewa isipokuwa malipo ya karma tu.
So ukitenda wema lazima huo wema ukurudie kwako na kwa familia yako.
Cc Pascal Mayalla
Msiache kutenda mema wakuu ili mjinasue na vifungo vya umasikini.
Sisi ukisikia MTU anaumwa lazima atibiwe nje ulaya au India.
Sawa sawaMaisha ni universe - kuna sehemu uki-tap mambo yanafunguka
Kuna familia Kama 10 nilikuwa naona wazazi wao walivyokuwa wanaishi hakika karma IPO matunda yanaonekana kwa familia zao .
Kwahiyo wenzangu na mimi kama asili zetu kwa Baba ni malofa tutaishia hivyohivyo mkuu?Unajua siri kama siri ni Ku-tap na kuelewa mambo ya universe vzr
Asilimia kubwa ya watu ambao tumefanikiwa hatujui tumefanikiwa vipi Ila trace familia yako hasa upande wa Baba.
Pole sana ndugu. Tupatie historia kiongozi tafadhali tupate kuokoteza na kujifunza.Huo wema umemfanya baba kuwa adui namba moja kwa ndugu zake hadi wakata kumuua.
We nae unapenda siasa 😂🙌Kuna mifano hai pia ya kutendewa ubaya na wale uliowatendea wema.., mifano ni mingi.., angalia JPM anachofanyiwa na watu wake wa awamu ya 6 kwa kumchafua kila kukicha…
Chama si sababu. (SIO KWA UBAYA)Bsbu yako alikuwa chama gani
Ukiona ukoo umebarikiwaiNataka Leo niongee na wazazi Kama mpo.