Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 3,482
- 4,673
mungu ana upendeleoKuna watu unakuta wanafanikiwa wote,sasa sjui huwa inakuwaje,sjui ndo kusaidiana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mungu ana upendeleoKuna watu unakuta wanafanikiwa wote,sasa sjui huwa inakuwaje,sjui ndo kusaidiana
kuna makaburi nini.kaka wewe una shida mahali niamini, tukusaide nn na familia yako? mara mama ako sjui vipi mara vurugu mtindo mmoja wallah you are not okay kichwani
Tuzame ndani sasa kwenye cosmos nitakuelewa tu mkuu.Unajua siri kama siri ni Ku-tap na kuelewa mambo ya universe vzr
Asilimia kubwa ya watu ambao tumefanikiwa hatujui tumefanikiwa vipi Ila trace familia yako hasa upande wa Baba.
we huoni anasomesha mtoto urubani huko sauzi?Unamaanisha mafw ni tajiri?
maana yake wote tunaoteseka au kutofanikiwa ni kuna malipo tunalipia ?Nataka Leo niongee na wazazi Kama mpo.
Sisi katika familia yetu upande wa babu yangu wamefanikiwa wote .
Je, ilikuaje wakafanikiwa familia nzima?
Kwanza Babu yangu alikuwa MTU mwema Sana alijitolea na kusaidia ndugu zake wote hivyo Karma ilimlipa .
Pia Mimi na ndugu zangu sote tumefanikiwa lakini hakuna juhudi inayoweza kuelezewa isipokuwa malipo ya karma tu.
So ukitenda wema lazima huo wema ukurudie kwako na kwa familia yako.
Cc Pascal Mayalla
Msiache kutenda mema wakuu ili mjinasue na vifungo vya umasikini.
Sisi ukisikia MTU anaumwa lazima atibiwe nje ulaya au India.
Kuna mifano hai pia ya kutendewa ubaya na wale uliowatendea wema.., mifano ni mingi.., angalia JPM anachofanyiwa na watu wake wa awamu ya 6 kwa kumchafua kila kukicha…
Kuwa na mkono wa kutoa hasa kwa watoto wadogo ambao hawajabalehe fanya hivyo majibu utayapataUnaweza kunipa siri ya mafanikio zaidi mkuu?
Embu nieleze zaidi una ushuhuda? Dah!Kuwa na mkono wa kutoa hasa kwa watoto wadogo ambao hawajabalehe fanya hivyo majibu utayapata
Sawa, apumzike kwa amani.Unachokisema ni kweli lakini huo mfano ulioutoa unaweza usiwe kipimo kizuri sana kwenye hii mada mkuu. Kumbuka tunapoongelea wema na ubaya, ipo kwa mtu binafsi zaidi, pia unaweza kumtendea mtu kitu akakitafsiri ni chema au kibaya. Inategemea na mtu anaamuaje kutafsiri na kuchukuliaje jambo. Ndio maana hauwezi kupendwa au kuchukiwa na watu wote, ilimradi umewatendea wema, inatosha. Na hasa pale ambapo umetenda bila kutarajia kitu kutoka kwa uliyemtendea.
Sina maelezo zaidi ya hayo maelezo yamenyooka kabisa hayo penda kutoa sadaka kwa watoto anza Leo utaonaEmbu nieleze zaidi una ushuhuda? Dah!
Inaonekana Babu yako hana mikono ya Damu...yaani hakuwa miongoni mwa wasiojulikanaNataka Leo niongee na wazazi Kama mpo.
Sisi katika familia yetu upande wa babu yangu wamefanikiwa wote .
Je, ilikuaje wakafanikiwa familia nzima?
Kwanza Babu yangu alikuwa MTU mwema Sana alijitolea na kusaidia ndugu zake wote hivyo Karma ilimlipa .
Pia Mimi na ndugu zangu sote tumefanikiwa lakini hakuna juhudi inayoweza kuelezewa isipokuwa malipo ya karma tu.
So ukitenda wema lazima huo wema ukurudie kwako na kwa familia yako.
Cc Pascal Mayalla
Msiache kutenda mema wakuu ili mjinasue na vifungo vya umasikini.
Sisi ukisikia MTU anaumwa lazima atibiwe nje ulaya au India.
Hii pia inachangiaInaonekana Babu yako hana mikono ya Damu...yaani hakuwa miongoni mwa wasiojulikana
Embu nieleze zaidi una ushuhuda? Dah!
Umetenda mema ili ufanikiwe , mfano umesaidia maskini ili ukwepe karma mbaya ambapo ni kama adhabu ,je hauoni utakua umesaidia kubeba karma mbaya za huyo maskini? Yan ni sawa na kumpunguzia mtu adhabu yake ya kifungo!!! Ebu fafanua hapo?🤔
Sana mkuu. Tena sanaHii pia inachangia