Chanzo cha kazi za ubunifu cha wa Israel ni hiki hapa

ward41

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2022
Posts
749
Reaction score
2,533


Hawa watu wamekuwa wabunifu tangu zamani na Walipewa hiyo roho na Mungu MWENYEWE
 
Hiki sasa ndio kitabu kisicho na shaka ndani yake. Mungu wa Yakobo neno lake ni thabiti na ni hakika. Miungu imejitahidi kuiga ifananefanane lakini wapi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…